Recent content by Nyominyomi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    StarTimes Tanzania sio kweli hiyo chanel haipo mmeitoa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Baby tv mmetoa na cbeebies zilikuwepo mkazitoa
  3. N

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    StarTimes Tanzania kwa nini mnatoa chanels kila nikinunua kifurushi? Nimenunua cha 21000 mmetoa chanel za watoto kwa nini?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kafilisika kama rangi ya ugoro
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wajenzi wengi ni wasomi
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Kwanza nimecheka ila sio kwa uzuri nimewaza kwa usawa huu hiyo laki 3 ningeipata wapi mie. Pili. Pole kiongozi ndo maisha lazima ulipe hamna namna
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwandishi aandike visa nilivyokumbana navyo

    Uzi tayari
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wapimwe akili kabla ya kupewa mtoto baada ya kujifungua

    Kichaa cha uzazi kipo na wanasema mama akijifungua ndani ya siku 42 anaweza pata so ni vyema kupimwa Nb. Mimi sio daktari teh
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

    Duh hatari sana hii
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

    Hii inaitwa funika kombe mwana haramu apite
  11. N

    JamiiForums Tanzania Boss nisamehe mimi mtoto wa kike

    Bora tu uache kazi aiseee
Back
Top Bottom