Maandiko yote yaliyo nje ya biblia, dhima yake kuu haileti msisimko wa mioyo na Wala haikati kiu ya uhitaji wa uelewa juu ya chanzo na hatma ya mwanadamu.
Hili linanifanya kuamini Yale maneno yanayodai kwamba, kutakuwa na mfumuko wa biblia kutoka kuzimu ambazo zitapingana na neno la kweli ili...
Nimekaa mwanza 17 yrs. Kuna kipindi nilikuwa najiuliza, hivi Kuna mkoa unafikia hata robo ya ukatili hapa Tanzania? Shida ya mikoa ile Ni Kama wanakautawala kao na maamuzi yao ambayo kimsingi mengi hayaakisi sheria za nchi. Kuna nzengo hizo kwenye jamii mtu akikosea anapigwa faini ya ng'ombe au...
Kaburi Ni uchaguzi ambao unataka kuzimwa na mafuriko ya no reform no election lkn bwana mkubwa kavua shati kutoa maji huku akicheka na kuona mafuriko Ni Jambo dogo ambalo haliwezi kuzuia kuzika japo maji bado yanaendelea kuingia kila anapoyatoa.
Wanagopa wakimpiga Iran watasababisha maafa zaidi coz Iran pia inawashirika wake. So inaweza kuwa Vita ya dunia bila kutegemea ndo sababu wanampiga Iran kwa kudokoa dokoa.
Hahaha hi story imenikumbusha kipindi flani nikiwa safari nikakorofishana na konda kabla ya wote wasafiri kulala Gest kusubiri mwendelezo wa safari asubuhi. Sasa ile gesti kulikuwa na shughuli zinaendelea usiku kucha pale uani ambako na Mimi chumba nilipolala.
Nilianza kwanza kusikia mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.