Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,305
- 5,662
Kwaio hii story wengine hatujazaliwa duh 🙌🏾
Sasa si kadogo ka 2000😂😂😂Kwaio hii story wengine hatujazaliwa duh 🙌🏾
Damn kumbe watu ni mubabaz😹Sasa si kadogo ka 2000😂😂😂
😂😂Damn kumbe watu ni mubabaz😹
Mkuu ; nimeisoma lakini dah! Hayo mambo mbona kama yanafikirisha sana? Ni ya kweli? Huku Mikoani hatuyasikii wala kuyaona. Niko interested sana nayo.Hao ata kwetu wapo mkuu yaan wapo wapo TU hawajui nn mana ya maisha na nn mana ya changamoto ndo mana kwao kila kitu n chai yanawaza kula TU😂😂😂
Majambo mazito kama hayo hayajakukuta Wala kukusibu basi mshukuru Mungu Kwa Imani Yako,mana Kuna watu wanataabika nayo🙏🏽Mkuu ; nimeisoma lakini dah! Hayo mambo mbona kama yanafikirisha sana? Ni ya kweli? Huku Mikoani hatuyasikii wala kuyaona. Niko interested sana nayo.
Mkuu; Naomba connection. If you cannot fight them, join them.Majambo mazito kama hayo hayajakukuta Wala kukusibu basi mshukuru Mungu Kwa Imani Yako,mana Kuna watu wanataabika nayo🙏🏽
Dunia ina mamboHahaha hi story imenikumbusha kipindi flani nikiwa safari nikakorofishana na konda kabla ya wote wasafiri kulala Gest kusubiri mwendelezo wa safari asubuhi. Sasa ile gesti kulikuwa na shughuli zinaendelea usiku kucha pale uani ambako na Mimi chumba nilipolala.
Nilianza kwanza kusikia mtu ameingia bafuni anakojoa mkojo haukatiki huku akiwa anapiga story na washikaji zake karibu nusu saa zima. Mmh! Nikasema nifungue mlango mida ya saa Saba usiku. Nafungua sioni mtu Tena kupo kimya hata sauti ya mende hakuna. Nikarudi ndani nikifunga tu mlango kosa, sauti zinaendelea Kama mchana tu. Wengine wanafua, wengine wanaoga. Wengine wako hotelini wanauza chakula. Sauti zinasikika we muhudumu lete kinywaji huku! Wengine"oyaa jamaa oga haraka bhana na sisi tuoge. Basi ilibidi kutoka tena lkn sikuona mtu nikasogea nione labda sauti inatoka nyumba za jirani hakuna kitu. Sauti ziliendelea Hadi asubuhi sikulala kwa sababu ya makelele lkn pia najiuliza Ni kitu gani hiki kinanitokea. Nikahisi huenda Yule konda niliekwazana nae huenda kanichezea. Asubuhi nikapanda gari tukaondoka, Ile sehemu sintoisau kwakweli.
Kuna watu wanajua izi ni story za kisadikikaAsee nimeisoma yotee, ila haya mambo yasikie tuu usiombe yakukute.
Kuna jamaa yetu amefariki last week yan kilichompata hakieleweki kbs ila ufahamu wake ulipotea mazima akawa km chizi, mwisho wa cku akaaga dunia.
Rest well Soldier
nna week 2 nasoma naishia njianiThanks my friend, nikitulia nitaisoma vizuri!
Maliza basi unisimulie!nna week 2 nasoma naishia njiani
Lakini ni kisa kizuri sana. Ngoja niisome nimalize yote leo 😎
Mm sijaweza kufika nusu. Lakini najiuliza, hivi ni kweli majini wapo?nna week 2 nasoma naishia njiani
Lakini ni kisa kizuri sana. Ngoja niisome nimalize yote leo 😎

Ni sahihi Ujue ni ngumu kuamini hata mimi hua najiuliza pia lakini kunawatu wanateseka na haya mambo kila iitwapo leo.Mm sijaweza kufika nusu. Lakini najiuliza, hivi ni kweli majini wapo?![]()
Never mind I'll do it 😊Maliza basi unisimulie!
Ni kitendawili - hakuna aliyepatikana kutegua.Ni sahihi Ujue ni ngumu kuamini hata mimi hua najiuliza pia lakini kunawatu wanateseka na haya mambo kila iitwapo leo.