Recent content by nyiudanyuki

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi zile matatuu za Kenya wanaunda wenyewe?

    Be genuine basii nitoe ushamba fananisha basiii tuoneee
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi zile matatuu za Kenya wanaunda wenyewe?

    Kaka basi fananisha wewe hayo magali ya tz na kny
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi zile matatuu za Kenya wanaunda wenyewe?

    Kuna vitu vya kubishania bwana sio hapa. Yaani inaonekana kabisa tz wamepigwa gape hapa ila mijitu inabishaaaa aaagh!!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Apps za simu za kusave charge

    Kuna ukweli wowote kuhusu ufanyaji kazi sahihi wa hizi applications za kusave power kwenye simu???? Kama zipo ni zipi kama kuna mtu anajua ufanyaji kazi wake
  5. N

    JamiiForums Tanzania Marekani yakana kuhusika na mapinduzi Uturuki

    Me nadhani kutokana na tabia yake ya urealist ambayo ni nchi nyingi zenye uwezo zina tabia kama hizo. Ila marekani ni too much. He is greedy, uncouth in nature, selfish and vita kwake ndio suruhisho la kupata interests zake. Lisemwalo lipooo kwanini ulaumiwe wewe katika kila kituuu???
  6. N

    JamiiForums Tanzania DC Ally Hapi: Uwanja wa Fisi kubadilishwa na kujengwa shopping malls

    Kufanya jambo bila kuathiri mambo mengine haswa kimatokeo mabaya hicho ndicho tunacho kiihitaji. Sio unajenga mall alafu unashindwa kuwalipa wakazi waliokuwa wakiishi hapo that will be nonesence
Back
Top Bottom