Recent content by Nyinza

  1. Nyinza

    Kwa nini Wasabato hawaruhusu wanawake kuwa wachungaji wakati mwanzilishi Hellen White mwanamke?

    Wasabato sio kwamba wanatumia vitabu vya Mama Ellen White Kama mbadala wa biblia, bali vinatumika kama vitabu vya ziada kutoa uelewa wa mambo yaliyo kwenye biblia. Ni sawa na mwalimu wa phyisics kuandaa notes kwa lugha rahisi toka kwenye abbot. Then wasabato wanawake wapo wanaopanda mimbarani na...
  2. Nyinza

    Bomoabomoa Dar, wamefikia hatua ya kusema,"iko siku na yeye ataondoka"

    Wewe mccm, Tanroads walitakiwa wasuɓiri kesi ya msingi imalizwe mahakamani. Huo nɗio utawala ɓora. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Nyinza

    Bomoabomoa Dar, wamefikia hatua ya kusema,"iko siku na yeye ataondoka"

    Sasa hivi napita hapa kimara kuelekea Mbezi jinsi nyumba zilivyobomolewa hadi nataka kutokwa na machozi. Mungu anakuona mkulu wa nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nyinza

    Rais Magufuli na elimu bure, CHADEMA na maandamano

    Upenzi wa chama cha mkulu huziba akili za wafuasi wake, mnashindwa kabisa kujua wapinzani kazi yao ni nini? Kazi ya mpinzani moja wapo ni kuikosoa serikali inapokosea. Kosa la Tundu Lisu lipo wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Nyinza

    Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kikuu anaweza kuwa profesa?

    Wewe mkali. Hata ungekuwa na PhD huwezi kupewa u profesor kwa research moja. Then kuna kitu kinaitwa academic writting skills ambazo mtu kuzimeza na kuweza kuzitumia kikamilifu unahitaji kufanya kazi nyingi za kitaaluma. Kikwete ile ni PhD ya heshima, Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Nyinza

    Fursa kwa vijana hakuna kiingilio!! Chakula na usafiri bureee

    Tutafika hapo angalau tupate hata lunch Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  7. Nyinza

    Diwani wa Ambulen, Arumeru abwaga manyanga! Atangaza kumuunga mkono Rais Magufuli

    Hii ya madiwani wa chadema kuachia ngazi nashindwa kuielewa kabisa. Hivi kumuunga mkono rais ni lazima uache kazi uliyopewa ya kuwatumikia wananchi? Kwanini wasimuunge mkono kwakusimamia vizuri maendeleo ya vijiji na mitaa yao vizuri? Kwani kujiuzuru ni kuiingiza serikali kwenye gharama za...
  8. Nyinza

    Hapa ndipo ninapouchukia mfumo wa Siasa Tanzania

    Tutasubiri sana na hii ccm. Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  9. Nyinza

    Prof. Ndalichako rudisha Syntax A-Level

    Hakika vijana wamelemazwa na mtaala huu wa advance ambao hauna Syntax. Naunga mkono hoja, Ndalichako aweke mzigo wa Syntax mezani Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom