jaruri
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 717
- 459
Kila ukimuuliza mtanzania mnyonge wa chini kabisa ,atakupa zifa kede kede za Rais Magufuli.Ndio maana kuna tafiti zilifanyika na kuja na matokeo kuwa Rais Magufuli ana ushawishi mkubwa kwa wananchi wa maisha ya kawaida.Hakika sasa nakubaliana na matokeo ya utafiti huu.
Baada ya JPM kuingia madarakani alinza na kutekeleza kero kubwa iliyokuwa inawagusa watanzania maskini,suala la elimu bure.Kama kuna mtu aliwahi soma sekondari miaka ya 2000,karo ya shule za kata ilikuwa 40000/= hapo huja weka gharama zingine.Wanafunzi tulikuwa tunaadhibiwa kwa kutolipa ada na kurudiswha nyumbani.Watoto wa maskini hawakupata fursa za kwenda shule and many talents were lost that way,,,,leo Rais kaleta ukombozi kwa wannchi unatushawishi tumchukie,,,,how and unaanzaje kufanya hivyo?
Tunaweza kuwa tumeshtakiwa sawa,,tulivunja mkataba sawa,,ndege yetu imeshikwa sawa,,so what? Hiyo inambadilisha Rais wetu toka Mtetezi wa wanyonge na kuwa adui? Before you judge some one look at the root cause na sio kushabikia vitu ambavyo kimsingi hujui chanzo chake.
Nawashauri wenye hoja kama hizi watuache na Rais wetu.Walikuja na Rais wao mwenye agenda ya ELIMU ELIMU ELIMU ,wananchi walimpima wakaona hatoshi.wasubiri 2020 kura zitaamua lakini kuweka nchi kwenye heka heka eti kwa sababu watu flani wanataka publicity,,that is not acceptable.
Kama una issue unaona serikali imekosea kuna njia za kuhoji na sio kuita media na kuituhumu serikali kwa habari za upande mmoja.How sure are you kwamba hizo info ulizopewa ni sahihi? na je ni sahihi kwa kiwango gani? and what is the impact ya hiyo taarifa katika utulivu wa nchi?
Sio kila ukweli ni lazima usemwe hadharani,wakati mwingine hekima huamua lipi lifanyike.
Free mind at Jaruri
0712207633