Nimepanda Happy Nation( BUSINESS CLASS) la saa 10:00 kutoka Bukoba to Dsm kwa NAULI ya 120,000/.
Hilo basi halina AC na pia CHOO chake haki flush tunalazimishwa kuchimba dawa kwa KUJILIPIA hiyo huduma. Konda hana jibu la malalamiko yetu yote, likiwemo la kurudishiwa nauli inayobebwa na hiyo...
Habari?
Nijuzeni miziki ya video inayofaa kuingalia na watoto/vijana wetu under 15. .mf ya Achi wa Diamond na Koffie.
Nataka kuandaa playlist/folder la kwao tu, si mnazijua vedeo zetu zllivyo na BALAA.
Nikukumbushe tu. Utatumia gharama kubwa ili ule chakula kisicho salama kwa afia yako. . WANGA ulio kwenye wali ni sumu. Badili muelekeo, achana na hilo jiko ilo wali usikunogee sana hamia kwenye vyakula mizizi na dona. Utanishukuru uzeeni.
Nina hiyo Benzi, ipo vizuri ndio inakaribia klm 125,000 na haijapoteza mfumo wake wa fuel consumption.
Kwa anayehitaji kununua na hata kubadilishana tuwasiliane 0629478005
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.