Recent content by NYEHUNGE

  1. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania Kwenye jamii za wasukuma yataka moyo wa chuma

    Sahihi kabisa
  2. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania Ona kilichompata huyu jamaa

    Uongo.
  3. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shigongo ajiachia kunywa pombe na Wazee wa Buchosa

    Acha kujifanya mtabiri wa Taifa.
  4. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Mbona anaanza kulia lia mapema hivi huyu kamanda maandazi
  5. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

    Dah...!! Ni kweli " Usijisifu kwa ajili ya kesho maana haujui yatakayozaliwa ndani ya usiku mmoja". Nilikua namkubali sana huyu binti. R. I.P
  6. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Magufuli anakubalika Kanda ya Ziwa tu

    Hatuwezi kumu-let down homeboy.
  7. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/ACT-Wazalendo mkikubali zoezi hili la kuenguliwa lifanikiwe hamna sababu za kuaminiwa tena

    Hakuna mwenye ubavu wa kuingia barabarani, mtabaki kubweka tu mitandaoni kama hivi.
  8. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

    Aisee usimlinganishe Hillary Clinton na huu utopolo wenu.
  9. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Louis Shika Kidola afariki dunia

    R.I.P homeboy
  10. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania Tangazo kwa vijana kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea mwaka 2020

    Kila la kheri vijana wazalendo watakaochaguliwa. Wacha wakajaribu bahati zao japo maumivu ya kutoboa mkataba ni balaa jingine.
  11. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Shigongo 💪💪💪💪..furaha ni kubwa sana huku jimboni Buchosa..
  12. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hotuba za kampeni za Lissu, naomba sana ziwe na yafuatayo

    Ila kuna watu mna vichwa vigumu sana aisee, ivi kweli mpo serious kudhani kwamba Magufuli atashindwa katika uchaguzi wa mwaka huu.? Au mnachangamsha kijiwe tu.? Jaribuni kutembea kidogo huku vijijini muone watu walivyo na hamu ya 28 Oct kwenda kumpa kura nyingi sana Magufuli kwa makubwa...
  13. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania Nini dawa ya kujiamini bila hata kutumia kilevi?

    Tafuta hela za kutosha, confidence itakuja tu automatic.
  14. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Go go Shigongo....wazinza walikua wanatusema sana
  15. NYEHUNGE

    JamiiForums Tanzania BUCHOSA: Jimbo lenye fursa za utajiri lakini...

    Sijui unaongelea Buchosa ya mwaka gani. Maana yote uliyoandika halipo hata moja
Back
Top Bottom