Nini dawa ya kujiamini bila hata kutumia kilevi?

mgendege

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
363
Reaction score
472
Jamani mimi nina tatizo la nidhamu ya uoga yaani mtu akinifokea kidogo tu hata kama kosa ni la kwake mwili unaanza kutoa jasho. Naaza kuongea kwa kuogopa nashindwa hata kujieleza hata kama mtu nilimkopea nikaenda kudai akanijibu kwa ukali siendi tena hapo.

Nakimbia kwenda kuchukua K-Vanti hapo ndio utakuta akili ya kujiamini inakuja na mawazo ya kwanini usingefanya hivi, kwanini usimujibu hivi lakini utakuta ndio ameshaondoka. Pombe ikiisha kesho hali inajirudia vile, hata demu nikienda naye Gest utakuta uoga umekuja ghafla.

Sasa sielewi ni ugonjwa au nini? Kwa hiyo Mimi mwendo wa mitungi tuu apo utakuta najisikia comfortable kichozi nifanyeje naomba mawazo yenu
 
Fanya meditation pia jitahidi uache pombe kabsa hiyo itakulemaza pia angalia aina ya watu wanaokuzunguka tafuta marafiki watakao kujenga
.
.
Jamani wazazi kiweni makini na malezi ya watoto usipende kumfokea mtoto hovyo hasa mbele za watu ina madhara makubwa ukubwani
 
Una amini katika nini? pombe au wewe binafsi?.... kipi kina nguvu zaidi katika kuchochea nafsi yako? wewe binafsi kwa nguvu zako za asili za ndani au pombe?

Badilisha mtazamo, be you..be real... jiamini unaweza kufanya chochote bila utegemezi au usaidizi wa chochote. Na kweli unaweza sema ni sababau umeshajiaminisha vibaya. Chukua hatua badili mtizamo wako kuanzia sasa.
 
Fanya hivi; Nenda nunua kioo kikubwa weka ukutani chumbani mwako. Ukiamka jiangalie for at least 3 min. Jiambie, Mimi ni kidume, mimi sio mwoga na sili kwa mtu wala silali kwa mtu. Nenda kazini. Ukisikia watu wanafokeana huko wewe mind your own bissiness. Jiaminishe kuwa, wewe sio dhaifu tena unayajua mambo ukiwa na demu yeyote. Amgalia usije chukua majimama makubwa kwako. Angalia usije chukua waliokwisha choka na maisha. Watakufyonya kuwa "Mbona umenichafua tu" Chukua shy women wale "Sitaki nataka" yaani wasio na ujuzi. Anza kujifunzia hao ndio uchukue mapapa. Ukienda nao several tymes utazoea. Na ukiopwa usiwe rahisi kukopesha. Weka uadui kati yako na pombe
 
Kwa Haraka haraka we ni introvert mwenye personality ya phlegmatic na sio tu ukinywa pombe ndo unakuwa unapata mawazo ya nini ulitakiwa ufanye bali hata baada ya tukio bila kunywa unapata na tujawabu..😅

Swala sio uoga swala ni unawezaje kubalance huo uoga uwe constant..

Kuwa mtu wa hoja utapunguza kauoga kiasi chake pia ukishajijua jua na watu wa kuhusiana nao.. I mean kutokana na mtu alivyo uwe na mipaka ya mazoea!.. jua watu unaoweza kuwamudu na usioweza ili ujue huyu umpe nini huyu usimpe nini ili huko baadae msijesumbuana..

We ningumu kuuma wa mbuzi ila jitahidi tu ndugu..😂

Uoga utajificha Kama utakuwa na sababu yenye mantiki nyuma yake so uwe sababu yenye mantiki

Narudi...
 
Duu Asante mkuuu nimekuelewa Sana ngoja nifanyie kazi

Fanya hivi; Nenda nunua kioo kikubwa weka ukutani chumbani mwako. Ukiamka jiangalie for at least 3 min. Jiambie, Mimi ni kidume, mimi sio mwoga na sili kwa mtu wala silali kwa mtu. Nenda kazini. Ukisikia watu wanafokeana huko wewe mind your own bissiness. Jiaminishe kuwa, wewe sio dhaifu tena unayajua mambo ukiwa na demu yeyote. Amgalia usije chukua majimama makubwa kwako. Angalia usije chukua waliokwisha choka na maisha. Watakufyonya kuwa "Mbona umenichafua tu" Chukua shy women wale "Sitaki nataka" yaani wasio na ujuzi. Anza kujifunzia hao ndio uchukue mapapa. Ukienda nao several tymes utazoea. Na ukiopwa usiwe rahisi kukopesha. Weka uadui kati yako na pombe
 
Jamani Mimi Nina tatizo la nidhamu ya uoga yaani mtuu akinifokea kidogo tuu ata Kama kosa ni la kwake mwili unaaza kutoa jasho naaza kuongea kwa kuogopa nashindwa ata kujieleza ata Kama mtu nilimkopea nikaenda kudai akanijibu kwa ukali siendi Tena apo nakimbia kwenda kuchukua K.vanti apo ndo utakuta akili ya kujiamini inakuja na mawazo ya kwanini usinge fanya hivi kwanini usimujibu hivi lakini utakuta ndo amesha ondoka pombe ikisha kesho Hali inajirudia vile ata demu nikienda nae Gest utakuta uoga umekuja gafla Sasa sielewi ni ugonjwa au Nini?

Kwa hiyo Mimi mwendo wa mitungi tuu apo utakuta na jisikia comfortable kichozi nifanyeje naomba mawazo yenu

Knowledge
 
daaaaaah kwa jinsi ninavo jiamini(hadi baadhi ya watu wananiogopa) na wakati huo situmii kilevi chochote.natamani nikugawie ma confidance kidogo.
au hili nalo la kujiamini kuliko pitiliza nalo ni tatizo?????
 
Fanya meditation pia jitahidi uache pombe kabsa hiyo itakulemaza pia angalia aina ya watu wanaokuzunguka tafuta marafiki watakao kujenga
.
.
Jamani wazazi kiweni makini na malezi ya watoto usipende kumfokea mtoto hovyo hasa mbele za watu ina madhara makubwa ukubwani
Sure...pre-conscious experience ulizopitia ukiwa mdogo ndo zinasababisha ata Sasa uwe hujiamini....lazima ulivokua mdogo ulikua ukigusa kitu unagombezwa na kupigwa...na hapo ulipo utakua huwezi kufanya maamuzi yako mwenyewe mpaka upewe suggestion na mtu au watu...nawew ni rahisi kushawishiwa kumfuata mawazo ya kikundi Cha watu ata kama hayako sahihi...kwakua inner self na self esteem viko chini joh............solution:Tafta kitabu Cha Darake rake:Alpha male...halafu pia soma Sana Ivo vitabu...wallah utabadilika
 
Vitabu hivyo vina patikana wapi ata ivyo wakati mdogo nili dundwaga sana
 
Jamani Mimi Nina tatizo la nidhamu ya uoga yaani mtuu akinifokea kidogo tuu ata Kama kosa ni la kwake mwili unaaza kutoa jasho naaza kuongea kwa kuogopa nashindwa ata kujieleza ata Kama mtu nilimkopea nikaenda kudai akanijibu kwa ukali siendi Tena apo nakimbia kwenda kuchukua K.vanti apo ndo utakuta akili ya kujiamini inakuja na mawazo ya kwanini usinge fanya hivi kwanini usimujibu hivi lakini utakuta ndo amesha ondoka pombe ikisha kesho Hali inajirudia vile ata demu nikienda nae Gest utakuta uoga umekuja gafla Sasa sielewi ni ugonjwa au Nini?

Kwa hiyo Mimi mwendo wa mitungi tuu apo utakuta na jisikia comfortable kichozi nifanyeje naomba mawazo yenu
dont give a *** to anybody ndo dawa yake hiyo unaweza ukawa na comfidence ya kufa mtu kama usiopkuwa unajali mtu yoyote katika maisha yako...lakini kabla ya kufika huko jichanganye sana na watu hasa wakorofi kama unajua unasehemu kuna watu watata kaa nao hata mwezi uatabadilika..mimi nilikua hivo nilipokuwa nakaa nyumbani na nikawa hata siwezi kuongea na mtu especially watu wazima huku nikiwaangalia usoni ...baadaye nikafaulu nikaingia shule moja inaitwa ifunda, kule ni fight for survival no bod cares usipokuwa mtata maisha hayaendi baada ya hapo nilibadilika kishenzi hadi niliporudi home walishangaa..kwanza tulikuwa tunapiga chuma yaani ule uoga wote ukatoka...kama unaweza pia tafuta mazoezi ya self defense kama boxing, kick boxer ama kung fu itakoboost pakubwa sana
 
Sure...pre-conscious experience ulizopitia ukiwa mdogo ndo zinasababisha ata Sasa uwe hujiamini....lazima ulivokua mdogo ulikua ukigusa kitu unagombezwa na kupigwa...na hapo ulipo utakua huwezi kufanya maamuzi yako mwenyewe mpaka upewe suggestion na mtu au watu...nawew ni rahisi kushawishiwa kumfuata mawazo ya kikundi Cha watu ata kama hayako sahihi...kwakua inner self na self esteem viko chini joh............solution:Tafta kitabu Cha Darake rake:Alpha male...halafu pia soma Sana Ivo vitabu...wallah utabadilika
Hii ya inner self na self esteem kuwa chini naomba itolee ufafauzi kidogo maana kuna vitendo hata mimi huwa najikuta kushawishiwa naviona kabisa havifai ila najikuta kutaka kufanya japo mara kadhaa huwa inakuja hali ya ndani acha na sifanyi.

Unajua kuna hali unajikuta ukijiuliza nisipo fanya sijui watanionaje?
 
Tatizo mkuu Mimi sio fundi wa kuandika mambo marefu ya serious....ila Soma vitabu..hakika utakua top of the topper
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom