Recent content by Nyawayikulwaluchagula

  1. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

    Duuh kapitiliza sifa ya mwanamke au mke ni staa na kujiheshimu
  2. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Vetting ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya itokane na maeneo wanapotoka kuharakisha maendeleo, wageni wanafubaza uchumi

    Kuna mameya wa majiji,manispaa na wenyeviti wa halmashauri labda hawa wapewe power maana wao wanatokana na eneo husika na pia wetokana na wananchi,lakini kwa RC's na DC'S ni wawakilishi wa Rais katika eneo husika yeye ndiye anaelewa flani anaweza kuniwakikisha sehemu flani vizuri,ukisema uteuwe...
  3. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

    Hapana kabaki kuwa katibu mkuu wizara ya habar,utamaduni,sanaa na michezo ila usemaji wa serikali ndiyo kapewa mzigo
  4. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

    Kwa awamu hii au ile nyingine ijayo mkuu?
  5. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Ni Rais wa awamu ya Sita na sio ya tano kila anapoingia Rais mwingne ni awamu nyingine hiyo sio kwa vipindi.
  6. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Yeyote watakayeona anafaa wananchi hatuna budi kukubaliana na maamuzi yao maana wao wanawafahamu viongozi wa juu kuliko sisi wananchi wa kawaida, ngoja tusubiri tuone busara zao tuliowapa mamlaka hiyo.
  7. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Nitamkumbuka Rais Magufuli kwa,misimamo yake hisiyoyumbishwa,ujasiri,uthubutu,maamuzi,kusimamia anachokiamini hata kama kitakuwa na madhara,ukweli na uwazi hata kama utaumiza lakini yeye kauongea au kuusema hata kama utakwaza watu ila yeye umemweka huru kwangu mimi ni hayo na ndiyo niliyompendea...
  8. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Rais na Makamo wa rais ni ofisi mbili tofauti na hawana ukaribu sana ndiyo maana nadhani katiba yetu imekaa ivyo maana katibu mkuu kiongozi anaukaribu sana na rais kuliko Makamo wa Rais
  9. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Toa hiyo namba tatu maana jeshi sio utawala wa kirahia na kuna taratibu za wao kushika madaraka pia ikibidi ambyo siyo ya kiraia
  10. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Mwacheni mzee apumzke kaitumikia nchi hii muda mrefu sana hata akienda kuzika Chato tu inatosha.
  11. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Mkuu si uhamie Chato kama miradi inaenda huko sana hili ukanufaike pia maana yote ni Tanzania na una uhuru wa kwenda popote pale ndani ya mipaka ya nchi yetu.
  12. Nyawayikulwaluchagula

    JamiiForums Tanzania Je, Paul Makonda anatosha kurithi kiti cha Dkt. Bashiru CCM?

    Makonda anatosha nafsi ya uenezi,kwenye ukatibu mkuu Pole Pole sawa.
Back
Top Bottom