Recent content by Nyauyaza

  1. N

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wapi Ntuzu?
  2. N

    James Katie: Mjue vizuri kiungo 'matata' Mghana anayetarajiwa kusaini Simba

    Walioingizwa chaka ni wale waliosajili mtu kacheza mechi 4 tangu 2013
  3. N

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sema Yanga, Simba hutembelea wagonjwa na vituo vya kulelea watoto yatima wakati wa week ya Simba
  4. N

    Mwamuzi aliyechezesha mpira kati ya Simba na JKT Ruvu ni vema afungiwe

    Watu wanatumia Ung'eng'e ili hali hawako vizuri kihivyo
  5. N

    Wachezaji timu ya Yanga wagoma kufanya mazoezi

    Mimi ni Simba lakini kwa hili nashauri Yanga wavamie kwa Akilimali wakidai awalipe wachezaji ili liwe funzo kwa watu kama Kilomoni. Mi najua Manji kafanya makusudi ili Yanga wajue umuhimu wake
  6. N

    Hakuna mabadiliko ndani ya club ya Simba, msidanganyike

    Akamuulize Ustadhi jana kashinda amefadhaika ameshindwa akubali mabadiliko au akatae. Tatizo watu walishazoea kuvuna bila jasho. Kama huna kazi nenda kijijini kwenu ukalime hatutaki porojo
  7. N

    Hakuna mabadiliko ndani ya club ya Simba, msidanganyike

    Siyo 98% tu 99.5 maana waliokataa ni 3 kati ya 600 na
  8. N

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Watu tuwe wavumilivu tu maana hakuna namna japo uhamisho ni haki ya watumishi
  9. N

    Azam mpya itawalaza na viatu

    Azam nayo imejaa uswahili, Wawa si wa mchezo lakini ameachwa
  10. N

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Da Minyo anavyobetua midomo akiwa benchi
Back
Top Bottom