Mbna hata kata wameandka hvo? Sa kama ni mmja mmja nan atapata? Embu nipe data muhm kwa anaejua. Mana kata ndio kama huyo apo alvoandka. Je wilaya na mkoa?
Zmetoka na wengne 2mechaguliwa .2nawait kuitwa ngazi ya wilaya. So kama kuna m2 anafununu usaili wa Wilaya unakuaje a2juze. Ili 2simbwire. We unasema wengne wameandamana kixa ajira .c 2fate nin. C twafata uzalendo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.