Dela
Member
- Aug 25, 2013
- 78
- 13
mbona mnaleta mabishano mengine semeni ni lini?
january mwakan ztatoka tena za kujitolea.
mbona mnaleta mabishano mengine semeni ni lini?
mm nimegraduate tangu 2011, npo jeshin, nimejaribu kusema ukwel wa mambo, nafas za kujitolea jkt ztatoka tena mwakan, atakaeweza aingie, hasa graduate, nae atakuja kutoa ushahd wake siku moja.
ndio ckatai mkataba c miaka 2 mwisho..hauoni hao waliobaki hawajachukuliwa elimu yao ndogo?
sasaaa jamani jkt wakujitokea munamaaanishaaa niniii
Una maanisha std 7 au?
mm nimegraduate tangu 2011, npo jeshin, nimejaribu kusema ukwel wa mambo, nafas za kujitolea jkt ztatoka tena mwakan, atakaeweza aingie, hasa graduate, nae atakuja kutoa ushahd wake siku moja.
kaka kama nakuelewa hiv mm intake ijayo naingia afu ni graduate wa education sasa ww toka 2011 bado upo mkataba wako c umeisha au?

Mkuu mkataba ni miaka miwili ila huwa inaongezwa kama kuna ulazima wa kufanya hivyo.
kaka kama nakuelewa hiv mm intake ijayo naingia afu ni graduate wa education sasa ww toka 2011 bado upo mkataba wako c umeisha au?
mm nimegraduate tangu 2011, npo jeshin, nimejaribu kusema ukwel wa mambo, nafas za kujitolea jkt ztatoka tena mwakan, atakaeweza aingie, hasa graduate, nae atakuja kutoa ushahd wake siku moja.
Naona hapa kuna ukweli flani hivi,,ila Mungu naamini atasaidia mi pia ni graduate na ninatamani sana kuingia huko. Kwani ni degree gani ambazo zinahitajika mara kwa mara huko..?