1. Chief fuel consumption ni variable ya vitu vingi ukiweka pamoja. Sasa iko hivi kama kila kitu kipo sawa kwa maana air filter, spark plugs na vitu vingine vinavyoweza kuathiri ulaji wa mafuta kwa yangu ambayo ni 2009 model CVT transmission napata around 8.5km/l kwa trip za mjini na around...
Mi ninayo tangu January mwaka huu. Kiukweli ni gari nzuri sana, na nimesafiri nayo, Dar-Arusha-Dar. Dar-Ifakara-Dar, Dar-Mor-Dar, Dar-B/Moyo-Dar na Dar-Dodoma-Dar bila matatizo yoyote. I would recommend one to buy.
Binafsi haijanisumbua hadi sasa, cha kuzingatia ni aina ya oil inayotumia mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.