Recent content by nyatunyatu1

  1. nyatunyatu1

    JamiiForums Jerry Silaa amesahaulika sana, napendekeza apewe ukuu wa mkoa wa Dar

    Atleast huyu dogo anajielewa anafanya mambo kama mtu mwenye busara na upeo wa uelewa na kujifunza kujua jambo
  2. nyatunyatu1

    JamiiForums Rais Magufuli kwa hili uliloongea kwa Dangote nakuomba sana uwe unachagua maneno!

    Nyerere hakuwa mnafiki ila alikua akitumia hekima na busara kutatua matatizo na sio kubwatuka tu kisa unaujua ukweli!viongozi wangap wanajua ukweli wa baadhi ya mambo ila wanatumia busara kusolve?ukimyaa ni silaha kubwa kwa mtu mwenye busara!akisemwa yake bila unafki utakuja tena...
  3. nyatunyatu1

    JamiiForums Rais Magufuli: Serikali kupitisha Fedha zote Benki ya NMB

    Me cjawahi ona bank ipo too local slow na poor service kama NMB,na ndo inakua hivi coz ya kubebwa wakati wenzao wanapambana kufanya bank zao ziwe na ubora na kweli crdb ni mfano ipo na ubora wa service matawi mengi ni wabunifu sana KIMEI BIG UP BRO ila hili!ila TINDU LISU ALISEMA ITAFIKIA...
  4. nyatunyatu1

    JamiiForums Kassim Majaliwa: Mwanafunzi akipata mimba mzazi jela miaka 30

    Sasa hapa ndipo utoaji mimba utapo shamiri TZ
  5. nyatunyatu1

    JamiiForums Rais Magufuli: I wish I could be IGP; Ni kuhusu wale wanakwaya pale central

    Coni kama wale wanakwaya au aliefuta gari la manji anamakosa kisheria na kikatiba!!!!!ila too much of anythng z always bad na ndo kilichopo sasa ila nyerere aliongea haya ila watu walikua wakicheka wakidhan alikua anafanya comedy sahivi vinatendeka
  6. nyatunyatu1

    JamiiForums Picha:Muonekano Mpya wa Zari

    Mh yaan unapoteza muda wako kumchunguza mke wa mtu! Kweli vilaza wengi mjini
  7. nyatunyatu1

    JamiiForums KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Me nashangaa sana sisi watanzania badala ya kuwa kitu kimoja kupigania maendeleo ya inchi yetu na kama kuna kitu kimekosewa tukiseme ili kikae sawa watu wanaleta unazi wa kichama!duniani kote hata nchi zenye democrasia kama marekan,uingereza chama pinzani ki kuangalia mapungufu ya chama tawala...
  8. nyatunyatu1

    JamiiForums Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Kwa hili manji lazima atalipwa fidia maana kutaja mtu anahusika na madawa ya kulevya hapo hapo unasema unataka muhoji akusaidie kuwataja wadau wa unga hvyo teyari ni weakness tosha ya mawakili wake kuanzia hapo kushinda hyo kesi! Na ndo maana lisu anaishinda sana jamuhuri kwa maana maneno...
  9. nyatunyatu1

    JamiiForums Kamanda Sirro: Bado tunamshikilia Tundu Lissu,tunataka kuthibitisha kama alitenda makosa

    Daaaah kwa hyo rzon iliotolea acha nibak mdomo wazi tu
  10. nyatunyatu1

    JamiiForums Updates: Wasanii Waitikia wito wa Makonda Kufika Polisi

    Kata mizizi na sio mashina hapo unakua hujasolve tatzo la visiki shambani
  11. nyatunyatu1

    JamiiForums RC Gambo, RCO, ASP Arusha, Vodacom na mtaalam wa picha kutoa ushahidi kesi inayomkabili Lema

    Tatzo ni Methali 28:16 bhaaaaasi! Maana nguvu inayotumika kwenye hii kesi ingetumika kwa mambo ya msingi ya kujenga taifa tungekua mbali sana........ waafrica wengine cjui nani katuloga!utadhan kama zinja tunavyoishi maisha yetu bora hata huyo zinja nadhani eeeeh kweli ndo maana ngoz nyeupe...
  12. nyatunyatu1

    JamiiForums Trump Amshukia mwandishi wa Habari na kumnyang'anya passport yake

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] co njee ya ukumbi tu! Pemben mwa debe ya kinyesi kabsaaaa
  13. nyatunyatu1

    JamiiForums Nisipojiangalia kwa hili nahisi sintoshuhudia uchaguzi mkuu wa 2020

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
  14. nyatunyatu1

    JamiiForums Huyu "mzee bure" aliyetajwa na rais Magufuli ni nani?

    Kuna msemo wa kithungu unasema "empty tin makes alot ov noise"[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Back
Top Bottom