Recent content by NYATUKU

  1. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania CCM imvue Uanachama na kumfukuza kabisa Chamani Askofu Gwajima haraka sana bila kuchelewa

    Acheni kuweweseka mmechokwa hamna jipya tena
  2. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Acha kutukana pole kwa kujaliwa kuwa na fikra finyu
  3. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Bado hujajibu hoja za msingi. We bado mchanga kifikra. Pole sana.
  4. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Msiokunywa pombe, mnastarehe vipi?

    Starehe kubwa ni kuzini
  5. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Kwanini polepole hakujiuzulu kwenye uongozi wa magufuli kama kigezo ni utawala bora wa kidemokrasia?

    Wewe hujitambui. Hoja yako haina mashiko ni ya kijinga
  6. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Ukifikiria kiundani hili la kununua maji ya kunywa ni ulimbukeni na ushamba

    Wewe siyo mimi siwezi kukuiga weye. Acha niwe mshamba hayakuhusu mambo ya wengine
  7. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Ni harufu ya kawaida au matatizo mengi siku hizi

    Kabla hamjaanza fucking awe anaiosha. Harufu ya jasho ni ovyo sana.
  8. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Kwenda kwa kuvizia ni mbinu mojawapo ya kimedani.
  9. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

    Wewe acha hizo hao wametoa walaka ili makanisa yasitumike kwa mambo ya ovyo ovyo. Pia pilipili uso ila yakuwashia nini?? Ya Ngoswe mwachie Ngoswe Asante Mungu kwa msimamo usopinda kwa maaskofu. Maaskofu hawaja kurukupa kutoa walaka.
  10. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

    Kaulize kisutu
  11. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

    Wewe inakuhusu nini? Shika time yako. Yangoswe mwachie ngoswe.
  12. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha nioe mke wa pili mwaka wa pili sasa

    Ukiona hivyo ujue naye amepata mwenza mwingine. Oa tu huyu ulie nae si wako peke yako
  13. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Hahahaa just to say hahahaa
  14. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakazi wa Ukonga wakila Kiapo cha Kutoshiriki Uchaguzi bila Reforms

    Mie ntashiriki uchaguzi hakuna wa kunitisha.
  15. NYATUKU

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

    Chuma ulete
Back
Top Bottom