SI mnakumbuka hata kwenye uzinduzi WA chama mtoto WA kwame krumah na mabarozi WA nchi za ulaya na Prof lipumba walikuwepo kama tulivokuwa tumetangaziwa! Chezea zito wewe
Fedha yote inayotakiwa kulipwa kwa wabunge kama posho za vikao vya bunge ilishatengwa tayari wenyewe kazi Yao Ni kusaini Tu...na huwa wanasaiana na Kila mtu anaingiziwa chake mwisho WA siku...hata ikitokea bungeni amebaki spika pekeake hakuna hata senti tano itakayorudi hazina...
Kwa majimbo kama segerea, ukonga, kigamboni, Serengeti, morogoro mjini na kilosa chadema ina nguvu Sana ukilinganisha na vyama vingine ndani ya ukawa...mi naona Ni bora hayo majimbo vyama vingine vikakubari kugawana hayo mengine yaliyobaki..
Kama ishu ingekuwa Ni degree au u profesa basi tz tungekuwa matajiri..maendeleo ya nchi hayahitaji kiongozi mwenye elimu kubwa bali kiongozi mwenye maono ambaye atatumia wataalamu wanaomzunguka kuweza kufikia malengo na maono yake...hapo ndo mbowe anapowashinda wengine..adolf Hitler hakumaliza...
We mtu gani hata bungeni hachangii chochote...ina maana hayaoni matatizo ya watz na Hana njia mbadala ya kuyatatua? Bora alivokuwa waziri tungemtetea kuwa anaogopa kuikosoa serilali yake, lakini tangu 2008 Ni mbuge hadi Leo na hajawahi kukosoa chochote wala kukemea ufisadi na rushwa ina maana ye...
Naona watu wanashadadia Tu kumshabikia lowasa, akiwa rais tutajuta nchi hii..tutaona heri hata ya kikwete..lowasa hafai kabixaa kuwa rais kuanzia ye mwenyewe hadi team inayo mback up Ni hatari tupu.
Ufike mda watz tujadili mambo ya msingi na kwa hoja na sio kutukana Tu, kazi ya mbunge Ni kuisimamia kuishauri na kuiwajibisha serikali. Na kwa hapo John mnyika kajitahidi Sana ukilinganisha na wabunge wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.