Recent content by nyasilu

  1. N

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    My god win, kosa kubwa mnalofanya wadichana ni kujirahisisha - yaani kuanza mahusiano ya ngono na wachumba zenu, hili linakuondokea thamani kabisa, hata ukifanikiwa kuolewa bado utakuwa na uzito wa mchepuko tu. Aidha, kuanza ngono kabla ya ndoa kunawazuia waoaji serious kukufuara jwani wanakuona...
  2. N

    Hivi ni sababu gani imfanyayo mwanamke kuwa Changudoa?

    Kwa wengi uchangudoa ni ugonjwa sawa na ulevi wa mihadarati. Seli za ubongo kwenye "limbic system" hukua sana (sawa na wajenga msuli au vilema wa bauskeli za mkono). Hii huleta mabadiliko ya uhitaji wa ngono / kutoridhika na mwanamme mmoja. Sehemu hii ya ubongo hukuzwa na kuanza ngono mapema...
  3. N

    I'm too lazy to be a housewife

    Housegirl kwa uvivu huo hata dyudyu huuwezi! Unafaa kuwa kishoka tu
  4. N

    I'm too lazy to be a housewife

    Housegirl, nakuunga mkono. Kwa mtazamo huo, endelea kuwa kishoka tu, nakubaliana na wewe kuwa huna sifa za mke! Mojawapo ya sifa ambazo huna ni: kuamka wa kwanza na kulala wa mwisho! Huwezi kabisa! Usithubutu kuolewa utajuta!
  5. N

    Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote

    Hali ya nchi ilipofikia tunahitaji Rais mkali, mueledi, anaemcha MUNGU kama JPM
  6. N

    Serikali yasitisha zoezi la bomoabomoa Dar isipokuwa katika Bonde la mto Msimbazi

    Mahakama imetoa amri ya kusitishwa kwa muda hadi kesi ya msingi itakapoamuliwa. Waliojenga sehemu hatarishi na za wazi wajipange kuondoka mapema. Sheria inamtaka kila anayejenga awe na kibali la sivyo ni uvunjaji wa sheria. HAMENI
  7. N

    Ushauri wa Bure kwa Lowassa: Hata kama ni kweli uliibiwa kura; Kaa kimya, Mungu ndiye akupiganie!

    Nampongeza Mhe. Lowassa kwa tuzo ya amani amabayo kwa maoni yangu ANASTAHILI kabisa. Tamko lolote la kijinga toka kwake lingenzusha machafuko na mauaji, badala yake aliwaambia washabiki wake wawe watulivu. Katika kampeni zake alitumia lugha za kistaarabu na alijizuia kujibu matusi aliyokuwa...
  8. N

    Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Nampongeza Mhe. Lowassa kwa tuzo ya amani amabayo kwa maoni yangu ANASTAHILI kabisa. Tamko lolote la kijinga toka kwake lingenzusha machafuko na mauaji, badala yake aliwaambia washabiki wake wawe watulivu. Katika kampeni zake alitumia lugha za kistaarabu na alijizuia kujibu matusi aliyokuwa...
  9. N

    Magufuli aumbuka Mbezi Louis (Mbezi Mwisho). Akosa watu, akasirika na kuondoka

    Ulinzi wa Magufuli usipime: https://www.facebook.com/groups/magazetini/permalink/815132295265962/
  10. N

    Lowassa: Kwa siku 100 nitafanya mambo 13

    Anaamini hivyo kwa sababu anaota ndoto (fantasy)
  11. N

    Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Dr Wilbroad Slaa, wewe peke yako ndiyo mkweli ktk siasa za kistaarabu. Kujitoa kwsko ktk siasa ni pigo kubwa kwa waTz wapenda amani na maendeleo. Wa-Tanzania tunakuamini sana na bado wewe ni tegemeo letu la kujenga mfumo wa haki na usawa. Mimi simuoni mwingine - wengi wanafanya siasa kuganga...
  12. N

    Ikulu si pango la majambazi na wezi

    Kinachonitisha zaidi ni lile genge la matajiri na mafisadi lililo nyuma yake waliotoa pesa za kununua chama. Hawa wakishika madaraka licha ya kunyonywa sana halitakuja liachie madaraka. Wa-Tz msifanye makosa kuwapa serikali yetu watu wa mashaka kama hawa, mtajuta!
  13. N

    Msaada: Nahitaji kuzaa na mume wa mtu ambae mkewe hajazaa nae tangu wafunge ndoa mwaka 2001

    Wewe ni malaya unatumia urithi wa bibi kama mtaji! Kuzaa siyo dhambi ila dhambi ni umalaya wako. Mlipe ulivyokula zaa nae kwa vile umejikabidhi kwa shetani. Mwisho wako ni Jehanamu. Ushauri wangu na wa mwisho, katubu na kuungama ili YESU akuokoe na kongwa hili la kujidhalilisha la umalaya
  14. N

    Kingunge

    Kingunge ana machungu bado, kuvuliwa gamba kuna maumivu makali, hajapoa!
  15. N

    Baada ya jina lake kukatwa, haya ndiyo yanayomsumbua Edward Lowasa mpaka anashindwa kula

    Kanali Kiwete nq kanali Kinana wamweza kuzuia mafuriko kwa mikono nq kulivua kabisa gamba sugu. Bravo presdor
Back
Top Bottom