Bunge la Ulaya limeitaka serikali ya Tanzania kusitisha mara moja uondoaji kwa nguvu wa jamii za Wamasai katika Wilaya ya Ngorongoro nchini humo kutokana na, miongoni mwa sababu nyinginezo, kugeuza maeneo makubwa ya malisho ya asili katika eneo la Loliondo kuwa hifadhi. Akizungumzia umuhimu wa...
Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150 ambao benki hiyo inafadhili kabla ya kuanzisha uchunguzi rasmi kuhusu suala hilo.
Bodi ya Benki mnamo...
Huyu jamaa anahadaa watu na kuzani Watanzania wote ni wajinga, ukiangalia kwenye ile IGA article-2 inasema jamaa wata manage na ku-operate strategic port infrastructure ambayo itakuwa ni hio SGR. Makame Mbarawa ameanza ku-trick watu lakinilengoni kumpa DPW, twende nao taratibu na kwa umakini...
Pole sana mkuu ndio mafundi wetu hao. Kuhusu Engine Oil 20W-50 ni nzito sana, magari mengi kuanzia mwaka 2010 spacing ya mechanical assemby ya engine parts ni ndogo sana, hivyo kutumia Engine Oil yenye viscosity nzito ni risk kubwa regardless of our environment ambayo ni joto hivyo oil ambayo ni...
Kwa Outlander, asilimia kubwa vitu vinaendana na RVR ila maelezo zaidi ni kama ifuatavyo;
Mitsubishi Outlander ni Mid-Size SUV ambayo ina configuration za 5-seater na 7-seater. (Kuna ile ya kawaida, Roadest, PHEV (Plug-In Hybrid Electric Vehicle), so far kuna generation nyingi).
Gari hii ni...
Mitsubishi RVR ni Compact-Crossover SUV ambayo toleo la kwanza haikufanya vizuri sokoni. Hizi ambazo unaziona kwa sasa Tanzania ni toleo la pili ambalo lilianza mwaka 2010.
Baadhi ya Specifications zake ni kama zifuatazo;
TRIM-LEVEL (DARAJA)
Gari hii inakuja na madaraja matatu yaani “E” Kama...
Mama mmoja kutoka Kenya, ameonekana kuwavutia watu wengi nchini humo baada ya kuja na design ya kujenga nyumba yake ya kuishi juu ya nyumba ya wapangaji wake (landlord amekalia tenants).
Mama huyo ambae ni nurse kwa taaluma anaefanya kazi USA aliamua kuja na hio idea ambapo baada ya...
Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
Hizo $1.8 billion ni za lot 3 (Makutopora mpaka Tabora) na lot 4 (Tabora mpaka Isaka), lot zote hizi mbili zinahitaji jumla ya $2.2 billion, hivyo kwa majibu wa maelezo mpaka sasa pesa iliopatikana kwa lot 3&4 ni $400 million na hivyo kufanya funding gape kuwa $1.8 billion
Huyu Mbarawa amekuwa ni kiongozi asieaminika, ni muongo sana na anahadaa watanzania.........serikali wanakuja na rundo la miradi na mingi inaishia kuwa white elephant huku wao mifuko yaoikizidi kunenepa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.