what i know ni kuwa siasa za nchi yetu sio rafiki sana na proffesionals. pia mazingira nayo si rafiki. mifano kadhaa ipo: unadhani ni mazingira ya kitaalam yaliyoongoza kuleta powertillers au bajaji za kubebea wagonjwa? ulishawahi kushuhudia jinsi hivyo vifaa vinavyofanya kazi huko...
infact granta alitaka kujua engineers wana role gani katika maendeleo ua tanzania. bahati mbaya hajui kuwa kuna fani kadhaa za engineering na hata hao alowalenga kazi yao ni kubwa kuliko bolts na baiskeli. wote hao wamekuwa na mchango mkubwa mno kwenye maendeleo ya nchi hii. pengine sasa amejua...
kuandika made in tanzania ni rahisi kwa kuwa hiyo inafanywa na wachora maandishi ambao sio engineers. hakuna injinia ambaye anahitimu bila kutoa mchango wake ni nini atafanya kutumia elimu yake. vyuo vinavyotoa mainjinia hayo yapo na ni mengi kwa idadi ya wahitimu. tatizo ni mfumo wetu elimu na...
jinsi hoja yako ilivyo unaongelea mechanical engineers. kwa kuelewesha wana jf ungetoa mfano wa nchi za afrika ambazo mainjinia wao wameunda kitu ili angalau waumie kuwa kwanini wao hawawezi. ungeenda mbali zaidi kwa kuuliza engineers wa bongo walioko nje wana mchango gani huko. tuendelee...
jamani sunbawanga ni balaa kwa bei ya hao dagaa. nilimwagiza dada wa kusaidia kazi akaniambia elf 12 kwa kilo(hawauzi kwa sado huku). sikumwamini sana ila nikamezea tu. shughuli ilikuja wakati wamepikwa. kama mbao kwa kwelo. ukweli sikuweza kuwala. hapa pia kuna dagaa wa ziwa tanganyika. wenyewe...
sumbawanga wanauzwa tzs 12,000 kwa kilo. ila mbona wabaya kwangu! kwanza huwezi kuelewa kama ni dagaa au samaki. pili ni wagumu kuiva. binafsi siwapendi
japo nimechelewa kukomenti but binafsi nimeagiza magari mawili kwa muda tofauti. they are excellent. tatizo lao ni simu but wanajua biashara halali. worry out
hongereni. nmb ni benki yetu watanzania tulio wengi hasa wa vijijini. kero kubwa kwangu ni mashine za kutoa zenyewe(ATM) kukosa pesa au baadhi yake kutokufanya pesa. jitahidini kuhahakisha kuwa mashine zote zinakuwa na pesa muda wote na zinafanya kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.