Nakumbuka Enz Hzo
Demu Wangu Nilimhonga Pesa Ya Ada Kwa Ajili Ya Malipo Ya Hostel
Pia Pale Nilipompa Smatfon Ya Bei Mbayaa...
Demu Wng Flan Hv... Nam Kubaki Na Kisim Cha Tochi Cha Kufunga Kwa Manati
Kuhonga Nimehonga Sana Na Ninazidi Kuhonga
Tena Bila Kuambiwa
Na Tukiachana Huwa Sidai
Pamoja Na Umaskini Wangu Lakn Ktk Suala Hilo Mi Niko Vizur Kwa Kweli
Sijui Itakuwaje Siku Nikipewa Nchi!!?
yaani kumbe watu hapa wamefulia hivi mi najua mmehonga vitu vya milion 50+ kumbe vifridge. simu. vijihela vya perege wadogo. nyama robo n.k mmeniudhi sana acheni kuwaaibisha wanaume wa kweli
Kwaio unajitangaza ili wengine wajitokeze wakuchunee? Lipia tangazo mkuu