Recent content by nyarutarama

  1. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio miss Rwanda 2018

    Unauhakika?? ?
  2. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio miss Rwanda 2018

    Ni wazuri na wana roho nzuri....hukukosea mkuu
  3. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Hata kama umenipa kipigo mumeo simuachi ng'oo

    Wanawake mnavumilIan mengI. Unadhani wametokea wapi mpaka hapo walipofika? Yaezekana umeleta kituko lakini yanatendeka hukooo ulayan mwetu.... mjiangalie waibaji maana hakuna anaetaka kuumizwa
  4. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Very interesting & meaningful

    Attitude is a little thing that makes a big difference
  5. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Wanaume mlioko kwenye ndoa kwanini hamridhiki na wake zenu?

    Utakuta mwenye uzi wake anasoma anatabasamu. Pole sana . si Kila mwanaume wa kumvulia. Chunguza kwanza
  6. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana ni nini? Nimekumbuka utamu wa Mke wa Balozi

    Mkuu ungemalizia kuoa Na kuolewa.:)
  7. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa baadhi ya wana JF

    aiseeeeeee
  8. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa baadhi ya wana JF

    Kumbe bado kuna watu kama ninyi kwenye jamii
  9. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa baadhi ya wana JF

    Nimeyaona kwenye jamii inayonizunguka
  10. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa baadhi ya wana JF

    sijaikimbia ila nimeamua kubadilisha tu
  11. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa baadhi ya wana JF

    Kuokoa baadhi ya maisha ya watu wasiojua hizi mambo
  12. nyarutarama

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa baadhi ya wana JF

    Habarini wanajamvi, Heri ya mwaka mpya. Leo imenibidi nitumie ID ingine. Kuna wana jf humu ndani sijui ndo stress au nini? utakuta bi dada kapanga wanaume zaidi ya mmoja na wote anatoka nao kimapenzi tena pekupeku bila hata kujali magonjwa, mkaka nae the same same thing, ni kitu kibaya sana...
Back
Top Bottom