Recent content by Nyarubhangara

  1. N

    Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

    Mimi ninadhani anaeupa mwili kazi ya kubeba kichwa kisicho na kitu ni wewe ulieshindwa kumuelewa jamaa,andiko lake limejitosheleza kwa mtu yeyote mwenye ufahamu ulio timamu,Sasa nashindwa kuelewa sijui tatizo ulilo nalo ni upopoma au ni Nini.
  2. N

    Nataka kulipiza kisasi

    Ujumbe mzuri Sana uliompa.
  3. N

    " Yupo Dilemma "

    Aangalie asije akafanya makosa,huyo mkwe wake aliesababisha mtafaruku bado yopo hai japo karudi kijijini.Halafu Kama ni mke Bora tayari ameshapata sasa analilia kitu gani anachohisi kakipoteza?atafakari kwa kina kabla ya kuchukua hatua.
  4. N

    Wanaume wa aina hii mnazingua

    Tatizo lake ni kulalamika wakati yeye ndie mkosaji.
  5. N

    Wanaume wa aina hii mnazingua

    Mimi nadhani unaezingua ni wewe unaemfuatilia mwanamke ambae unajua fika kuwa ana mtu wake.
  6. N

    Watu huwa tunakwama wapi linapokuja suala la ndoa?

    Ndoa sio tatizo bali tatizo ni je ulifuata nini kwenye hiyo ndoa.
  7. N

    Ushauri wenu ni wa muhimu kwa hili!

    Hivi unadhani kati yako na yeye mwenye matatizo ni nani?!bila Shaka mwenye matatizo ni Wewe unaepataka ulipopaacha,hivo unavuna ulichopanda.
  8. N

    Baba amuua kijana aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake

    Huyo kijana amevuna alichopanda,hongera mzee kwa kukataa dharau za kipumbavu.
  9. N

    Dawa gani nzuri ya kuzuia mimba wakuu

    Kubali matokeo Sasa maana hakuna namna.
  10. N

    Dawa gani nzuri ya kuzuia mimba wakuu

    Jitahidi uchomoe atakapokuwa anakojoa.
  11. N

    Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

    Mimi nadhani mleta uzi Kuna kitu kaamua kujisahaulisha bahati mbaya Kama si makusudi,ukubwa wa mwanamme sio wa kujadili Bali ni qadar aliyoiweka Mungu,ambayo haitabatilika kamwe mpaka kuisha kwa dunia.Vitabu vya Mungu vinatuambia kuwa jumla ya mitume na manabii wa Mungu ni 124000,na wote hao...
  12. N

    Hii ndoa inanivunja moyo, najuta kwanini nilimuoa huyu mwanamke

    Akumulikae mchana usiku atakuchoma.Huyo aliethubutu kukukata na kisu ipo siku atakuua kabisa hivo ushauri wangu achana nae kwa usalama wa maisha yako.
Back
Top Bottom