Mkali manyox
Senior Member
- Sep 7, 2019
- 143
- 156
- Thread starter
- #21
sawa mkuu,ushauri wako ntaufanyia kaziTafuta chuma kingine uoe..acha kudandia mademu wa watu kwa kisingizio kuwa una mtoto naye..
sawa mkuu,ushauri wako ntaufanyia kaziTafuta chuma kingine uoe..acha kudandia mademu wa watu kwa kisingizio kuwa una mtoto naye..
mkuu c unajua lile wenge la boarding school ko yy nlijikuta tu nmemlala ila ukwel nlikua na manz ambaye ndo nlimuelewa zaid cz na mwsho kanipiga chin ko nkaona nifanye plan B na nliempa nafac kwa nafac hii n yy ila kaanza chenga ko na yy napiga chin tuSema ukweli mkuu wakati unamtelekeza ilikuwaje maana hapo ume-skip?
Tatizo tushalisolve kikawa sawaa ila hizi ishara znazoonekana kwa ss iv n kama tu hakuna kilichokua solved ko mm na move on tuHivi unadhani kati yako na yeye mwenye matatizo ni nani?!bila Shaka mwenye matatizo ni Wewe unaepataka ulipopaacha,hivo unavuna ulichopanda.