Recent content by Nyaore

  1. Nyaore

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa na kuwa tajiri, acha tabia hizi...

    hio no 2 imenigusa
  2. Nyaore

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Ranch anahitajika

    Mkuu vp kima chako cha mshahara ni ngapi?
  3. Nyaore

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

    mpe uji wenye sukari nyingi, na iwe mara moja tu kwa cku
  4. Nyaore

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv ya chogo, Sony trinton 21 inch, bei maeleweano

    wapi unapatikana?
  5. Nyaore

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Arusha

    Mkuu kama hutojali sogea pande za huku Kikatiti na uwe na 5m utapata kiwanja kikubwa na kizuri, 2m vipo lakini ni vidogo na ni mbali na mji. Nicheki inbox tubonge
  6. Nyaore

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Kipo Arusha Kikatiti barabara kuu upande wa kulia kutoka Moshi, umeme upo karibu ukubwa wa 15m kwa 20m bei ni 7milion. Karibuni
  7. Nyaore

    JamiiForums Tanzania Hotel ya bei ndogo Arusha

    mkuu njoo huku mianzini Eden Hotel ndo mpango mzima
  8. Nyaore

    JamiiForums Tanzania Msaada: Manyara National Park

    mkuu Mzee kama hutojali nicheki through this number 0766605011 nitakupa information na taratibu zinazotakiwa, ahsante
  9. Nyaore

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nombeni ushauri jamani

    Awali ni awali tu, kuhamia kwa housegirl ni tamaa tu kwa vile yupo home unamvuta tu chumbani ila yote kwa yote uamuzi ni wako mwenyewe dokta
  10. Nyaore

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nimepost tangazo langu la kutafuta rafiki wa kiume ambaye badae atakuwa mchumba na hatimaye

    da debora wala wasikuhangaishe hao we nicheki tuweke mambo sawa seriously
Back
Top Bottom