Recent content by nyanyonyi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012

    Kila la kheri kamanda lema
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sumaye kupasua bomu...

    Na bado tutasikia mengi sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mkutano wa CHADEMA Jijini Arusha, Sept 25, 2012

    Hakika sisiem kwa hapa R-chuga hawana chao yaani huo umati wa watu nilijikuta natokwa na machozi ya furaha pale. Kamanda lema aliposema hata akishindwa rufaa yake na uchaguzi ukarudiwa wao wakamsimamisha binadamu then sisi tukasimamisha pakiti la biscuits jimbo bado tutachukuwa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sitta alikoroga; Kauli zake zadaiwa kuichimbia 'kaburi' CCM, Nalaila Kiula aibuka...

    Damu ya makamanda waliowaua huku wakiwa ktk harakati za ukombozi wa taifa lao kamwe haitawaacha magamba, na huo ni mwanzo tu tutasikia mengi kufikia 2012
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuzomewa Waziri Pinda UVCCM yamvaa mbunge;kinaonekana kuanza kuwachang'anya viongozi wa CCM

    Na bado watazomewa sana mwanzoni tulimwamini sana pinda tukiamini kweli ni mtoto wa mkulima kumbe alikuwa anatuzuga.uliona wapi waziri mkuu anashindwa kuwa na maamuzi yake binafsi badala yake kila kitu lazima akamuulize baba tabasamu.
  6. N

    JamiiForums Tanzania M4C, Lema kuiteka Moshi kesho

    Mwanzo mpaka mwisho kamanda lema yapelekeni puta hayo magamba hadi yajifungie ndani
  7. N

    JamiiForums Tanzania Chadema

    Nilikuwa namaanisha ule uliopo kijenge ya juu karibu na ofisi ya kata ya kimandolu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mikael P Aweda kuishambulia TBC kupita ITV. Maoni yangu.

    I hope Mtoaji wa hii mada alikuwa na usingizi kichwani
  9. N

    JamiiForums Tanzania Chadema

    Uwanja mbandala wa NMC kwa ajili ya mikutano Arusha ni Tindigani
Back
Top Bottom