Recent content by nyanyantole

  1. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Hili jambo liko sawa?

    Marehemu anawezaje kuoa
  2. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Yesu hakua Masihi (Masiach) Aliyeahidiwa kwa wa Yahudi/wana wa Israel

    Mungu ni Roho. Vyote unazungumza vya mwilini TU hivo LAZIMA viwepo ili adhibitike ktk Roho. Hekalu ni Mtu Kanisa ni Mtu hivi sio jengo so ni Mtu aliekuja kukombolewa. Mtu anaemchagua yy mwenyewe (Neema) huwezi mpangia dunia kaiweka Kwa ajir ya watoto wake. Si wote ni wana wa Mungu ila wote...
  3. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

    Kazi yao ni kubomoa,kuharibu, Kujenga na kupanda. Wameumbiwa hayo LAZIMA yaonekane kimwili lakin ukisoma bible ni hivo TU mpera mpera
  4. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Gunia la mpunga lililoshiba Lina kg 90 na 30 ni Pumba na 60 ni mchele. Sasa gunia Lina debe 6 hivyo kila debe linakupa kg 10 za mchele.
  5. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Kila nikisikia stori za Mungu nahisi kichefuchefu

    Isaya 29 16 Ninyi mnapindua mambo; Je! Mfinyanzi ahesabiwe kuwa kama udongo; kitu kilichofinyangwa kimnene yeye aliyekifinyanga, Hakunifinyanga huyu; au kitu kilichoumbwa kimnene yeye aliyekiumba, Yeye hana ufahamu?
  6. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Kila nikisikia stori za Mungu nahisi kichefuchefu

    Mungu ni Taasisi/Ufalme ambapo wapo zaidi ya mmoja Kwa Mujibu wa Bible Mwanzo 1 26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. NA TUMFANYE U...
  7. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Naandika uzi huu wa historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja niliyempenda lakini wazazi wake wakaharibu na sasa wanajuta

    Mh MBONA hakuna kosa yy kwenda shule, wewe kufanya nae uasherati umeona sio kosa. Wanadamu wanashangaza Sana. Unadhan upo salama kiiiiivo.
  8. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kavunjiwa nyumba mara mbili mwezi mmoja ilazo Dodoma (ana mbwa wa ulinzi Boerboel)

    Mwambie Rafiki yako kuwa Bwana asipoulinda Mji walindao wakesha Bure, atafute uso wa Mungu sbb Hana,akiupata ashike Sheria ya Mungu,Amri,hukumu na maagizo na kuyatenda mfano Fungu la kumi. The rest itabaki historia si kuibiwa TU na MENGINE.anaibiwa sbb Hana Ulinzi wa Mungu
  9. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania HooneyMoon itangulie kabla ya ndoa. Watumishi wa mungu lisimamieni hili kuokoa ndoa za watu

    Watu WAKITOKA KUFUNGA NDOA HONEY MOON WAFANYIE NYUMBANI KWAO SIO HOTELI. fikir tumetoka kupokea baraka unaenda siku hiyo hiyo kulala hotel ambapo YAMKINI kitanda unacho lalia Kuna watu walifanyia uzinzi, uasherati na ufiraji how come Yale maneno mazur ulitamkiwa yaka wini MAISHA. Utaanza...
  10. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: mkuu Wa mkoa, mkuu Wa Wilaya na Viongozi Wa kata shinyanga mjini,Je mnataka kizazi Cha mabinti wote waingie kwenye biashara ya Ngono?!!

    Jirani Kuna ka kitimoto mazingira machafu kweli. Biashara eneo Hilo imekuwa ni ya kitambo naamini heri ku deal na Mungu kuliko kuzuia watu kwenye mfumo wowote wa Maovu. Huwezi.
  11. nyanyantole

    JamiiForums Tanzania Namna ya ku-deal na Gold digger

    Oa. UNAINGIA kwenye sinagogi kuswali lakin kichwa kitupu shetan kaweka mayai yake
Back
Top Bottom