Recent content by nyanyamwitongo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wale waliopangiwa na utumishi sikonge tukutane hapa

    Wakuu tuwasiliane
  2. N

    JamiiForums Tanzania OSHA -Electrical Inspector II

    Acha ujinga. Kama hutaki kazi usienda. Kawaulize OSHA maswali hiyo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Kasian kalongalanjala mhitimu udsm 2013 fani ya umeme
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Scale za OSHA ambazo ni OSHA-scale 6.1. Ni sawa na basic ya shilling ngap?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    OSHA-scale 6.1 ni shilingi ngapi?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Hivi kama ulishaomba kazi kupitia portal ajira zetu Ukitaka kuomba tena ni vitu gani vya kuattach tena? Msaada jaman
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Profesa Doctor Jakaya Mrisho Kikwete, haya majina yote ili iweje?

    Na wewe ingia kwenye mtandao uone aliingia deni la taifa likiwa tsh ngap? Na sasa ni tsh. ngap? Ndipo utakuja na jibu sahihi pia ingia uone aliingia kuna ufasadi kiasi gani na sasa kuna ufisadi kiasi gani?
  8. N

    JamiiForums Tanzania The U.S Needs to Stop Ignoring Tanzania's Media Crackdowns

    This guy is from which kind of country. Nakubaliana na watu kuwa ukiwa mwana ccm hata wakiweka sheria ya kuua wazazi wako utasema iko sawa, ili mradi haikui wewe. Kumbuka leo inamchinja ndugu yako au mtoto wako uchungu utausikia tu wewe furahi na kisema haoni ubaya wowote.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira kwa hili mmetuonea

    Wewe endelea tu kuchagua kazi. Kuna cku utaikumbuka!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Njia gani za kuapata kazi nchi za Ulaya

    Huyo jamaa aliyetoa maneno ya kashfa sio kosa lake ni tatizo la kukosa elimu Elimu sio mali ulizinazo bali hata busara kwa wenzako
  11. N

    JamiiForums Tanzania Njia gani za kuapata kazi nchi za Ulaya

    yaan una MA halafu huna kazi,we kweli kungu.ru mimi hata cheti sina ninasomesha,kuwalisha na huduma nyingne nzur wanazipata kama bina za afya za kutibiwa mataifa makubwa sio amana au kamuhimbili,usafiri wa kutembelea na nyumba nzur za kuish.njoo kwangu nikuajiri
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Wakuu kuna tangazo la kazi la march 11 2015 lilitolewa na utumishi, walitangaza kazi kama afisa ndorobo, afisa mifugo mkufunzi, mchora ramani, mtathimini ardhi, mhadisi daraja la pili- marine engineer. Lakini nimeona tangazo la usaili fani nyingine zote wameitwa isipokuwa marine engineer...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Wewe kasochana uliandikiwa application review in progress ukaitwa kwenye interview?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mourinho hajawahi kuwa kocha bora wa mwezi msimu huu?

    Uko bora wa mwezi unasaidia nn kama hujabeba kombe Yeye atakuwa kocha wa vikombe msimu huu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Barua ya maombi unaweza kuacha kwenye ms-word au ukaiweka kwenye pdf according to instruction from portal
Back
Top Bottom