Lilambalyakwilole
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 1,100
- 649
sheria imeshasainiwa, kama watazuia misaada yao wazuie tu, hii n chi huru hatuwez pangiwa. binafsi cjaona ubaya wa hiyo sheria ya takwimu na mitandao, haija mzuia mtu uhuru wake, ila imeweka utaratibu wa matumizi ya takwimu na matumiz bora ya mitandao. nawasihi watz somen sheria na kupata ufafanuz badala ya kuaza kulaum na kulalamika tu. sheria imeshapitishwa na inaaza kutumika tar1 july, 2015. tuache kupotosha