Recent content by nyanthorogo

  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO Kigamboni Dar: Wazazi waendelea kumsihi mmliki wa shule kumuondoa Mwalimu Mkuu anayeelezwa kuwa na historia ya maadili mabovu

    Poleni sana kwa changamoto ya mwalimu mkuu. Ningeshauri mfanye vikao vya ndani kupitia kamati zenu ili kutatua shida hizo, huku kwenye mitandao ya kijamii mnajiaibisha tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jonathan Abayo: Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyamakokoto ambaye ni role model wa wakuu wote wa shule wilayani Bunda

    fikra zinanipa kwamba uandishi kama huu ni dalili za uchawa. Anyway nenda mwalimu ukasahihishe Mock
  3. N

    JamiiForums Tanzania Abdulrahman Mpakanjia Chifupa: Tuiamini tume ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29

    Eti kiongozi wa Elimu ya juu.!!! upuuzi mtupu. Yaani mpk polisi na jeshi zinajiandaa kutoa bunduki , risasi na serikali inazima interner watu wauawe hawakuwa wanajua chochote. Anatokea msomi kitambi eti tusubiri tume. matako yako
  4. N

    JamiiForums Tanzania JF Madaktari msaada wenu juu ya hii alama inaongezeka kila kukicha

    Pole sana huu ugonjwa nadhani unaitwa "vitiligo".
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ

    Nchi zinachukuliwa na ma captains sio hao senior officers wanao enjoy maisha
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mifano ya nchi ambazo ziliathirika na vurugu za maandamano

    kupindua serikali,? Bila kuwa na silaa yeyote mikononi?!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwenzako ananyolewa na sisi tupo mbioni, Leo Venezueza milioni 10 yao sawa shiling 1000

    Mungu na atuepushe mbali na hali hiyo
  8. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tumeshashinda Uchaguzi huu

    na sisi ambao kura zetu zimeungwa na NIDA kwenye mtandao tunaruhusiwa tena kupiga kura?
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shetta: Tuilinde amani yetu kwa wivu Mkubwa Kwa kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 tukachague viongozi bora kutoka CCM

    Endeleeni kuhubiri AMANI na Kusahau HAKI ndio mtajua watanganyika vizuri
  10. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Kampeni za mwaka huu zina hoja zaidi

    nakumbuka cartoon ya masoud kipanya ikiwaonyesha waandishi wa habari kama toilet paper
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

    Kama Ndugai mwenyewe alimtambulisha mke mdogo kiserikali na kumtenga mke mkubwa, wewe unataka kuforce wamtambue?!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Simba Yashika Nafasi ya 05 kwa Ubora Yanga Wakiwa 12 Kwa Mwaka 2025

    hivi club iki rank juu kuna kazawadi fulani wanapewa?
Back
Top Bottom