Duu aa kweli hayo ni mang`ana. mbona hiyo sio siri tena? wewe ulikosea tokea awali kama ulikuwa na lengo la kusema muda uleule ungempigia rafikiyako haponingekuona wa maana sana. hapo weboraukaekimya tu
Kiswahili hicho baba mlikuwaje wapenzi wakati mwenyewe unasema hamjawahi onana?,Halafu inaonesha wewe ni muoga ilembaya unachohofia ni nini? unajipanga kutongoza wakati hatasura yake huijui utamkuta yuko tofauti na unavyotarajia kaka onananae kwanza ukiridhika jinsialivyo ndouwe na uhakika na...
Ukiambiwa hivyo ndivyo ilivyo haijabadili chochote ila tambua yakuwa hiyo ni kampuni ya mtu binafsi hivyo wewe ni mtumishi wa kampuni husika ndiyo iliyokuajili sio serikali.
Nadhani hilo jibu hapo linajitosheleza,kuna mashirika ya uma yaliyo chini ya serikali na kuna yanayo jiendesha yenyewe bila ya kutegemea ruzuku kutoka serikalini na kunamengine ambayo yanapokea ruzuku kutoka serikalini kuna serikali za mitaa kuna taasisi zilizoko chini ya serikali na kuna...
jaribu kujieleza vizuri ili ueleweke unataka kazi ya aina gani? Wewe binafsi elimu yako ni ya kiwango gani?
jinadi ili utoe ushawishi kwa watu wakusaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.