Recent content by Nyansho

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna Serikali ya bure Duniani,tusitengeneze hoja za kisiasa kupitia vitambulisho Serikali leta sheria kila mtu atambuliwe tulipe kodi

    Lengo lako lilikuwa hili, hayo mengine porojo. Huwezi kamua maziwa kwa ng'ombe ambae hujamlisha akashiba. Hiyo PAYE unayolipa ni kutoka kwenye mshahara ambao unalipwa either na serikali au kampuni. Tuachane drama kwa watu wengine kwa vile tu wewe unakula unashiba kwa mshahara wa serikali...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Chaneli gani hiyo ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Tundu Lissu: Fanya “Mock interviews” kabla...

    Rudia kuangalia au kusikiliza utaelewa nafikiri yote hayo aliyatolea ufafanuzi tena vizuri tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda imepiga marufuku michezo ya kamari na Kampuni za michezo hiyo hazitapewa tena kibali

    Kuna watu humu wanajionaga wana akili kubwa kuliko wengine. Wewe kama kitu hukipendi usilazimishe na wengine wakichukie. Na usiwatishe watu kwa sababu ya mihemko na imani yako uliyonayo juu ya vitu fulani ambavyo wewe huvipendi. Hata uwepo wa shetani una faida kubwa sana hapa duniani Sent...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Shafii Dauda asifike kwenye mechi za Simba,kuna siku utapewa kichapo

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Shaffi vs Manara Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

    Ni moja ya wanaume wenye tabia za ajabu. Itakuwa na wewe ulikuwa ujamla sister yako ndo maana umeumia hivo. Ebu wanaume tuacheni ujinga wa kuwalilia dada zetu wanapoolewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo na Fao la kujitoa: NSSF yaanza kutekeleza maagizo ya Rais Magufuli

    Kwanza hakuna fao la kujitoa, kuna fao ya kupoteza au kukosa ajira. Na hili ni maalumu kwa wafanyakazi wenye mikataba ya muda na kwa wale walioachishwa kazi na waajiri wao. Kwa wale wafanyakazi wanaoacha kazi wao hakuna mafao Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo na Fao la kujitoa: NSSF yaanza kutekeleza maagizo ya Rais Magufuli

    Hizi mambo tunafurahia matamko ila hali halisi haiko hivyo tunavyojiaminisha. Juzi nilikuwa ofisi fulani ya PSSSF, ni balaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Clouds FM itawapigia magoti WCB kukubali yaishe

    Tatizo unalinganisha mtoto na mtu mzima. Halafu unamsifia mtoto kukua kwa kasi kuliko mtu mzima. Ebu jaribu kutumia akili kidogo na uache mihemko na uteam.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu kukimbia maswali ya waandishi kunatoa tafsiri gani?

    Kwa hiyo unabisha, tafuta cv yake. Si mchumi wala hajui uchumi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu kukimbia maswali ya waandishi kunatoa tafsiri gani?

    Sheria na uchumi wapi na wapi.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu kukimbia maswali ya waandishi kunatoa tafsiri gani?

    Ni mtaalamu wa sheria ya kodi na siyo kodi. Ndo madhara ya kutoheshimu taaluma. Huwezi mchukua mwanasheria akawa gavana wa benki kuu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jitihada za Rais Magufuli kuwatetea wakulima zazaa matunda. MO anunua Cocoa ya Kyela kwa zaidi ya sh 1000 ya bei elekezi!

    Yohanambatizaji akifufuka akakuta unatumia jina lake, ataomba arudi kabulini.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Korosho si nguvu za kijeshi, Ni somo la uchumi

    Kwa sasa angeiachia nguvu ya soko ifanye kazi na siyo vitisho
Back
Top Bottom