Mambo ya pale middle east mengine tuyaachage tuu, vita sikuzote inamikakati mingi mnoo, utakuta hao waandishi wa habari ndio magaidi wenyewe na hiyo hospitali chini yake ndio kuna ngome ya magaidi. Dunia kwa juu inaonyeshwa watoto na wanahabari wasiokuwa na hatia lakini nyuma yake ni mipango ya...
Hizi ni sera za chama gani? Maana kuna mgombea anamwaga sera za kupiga marafuku uchongaji, uingizwaji, uuzwaji na ulaliaji kitanda cha sita kwa sita. Anapendekeza kitanda cha 2x2 kwa wanandoa. Ukijumlisha na hili lako mleta mada mambo yatakuwa mpwitompwito tuu.
Ndugu mleta mada nadhani ungetofautisha uzalendo na ujinga. Wananchi wa zama za J. K. Nyerere kweli wengi walikuwa wajinga kielimu ila walikuwa wazalendo na wafianchi kwelikweli kuanzia ngazi ya kaya mpaka taifa na kiwango cha ubinafsi kwa viongozi wa umma kilikuwa chini mnoo. Kiongozi wa umma...
Kuna wanaojiita watunishi wa mungu lakini wanachofanya ni sawasawa na anachofanya mganga na mpiga ramli tuu. Hivyo nduguyangu usihadaike na makelele yao.
Naunga hoja mkono. Aweke wazi yote anayoyajua kabla hajanyamazishwa kwa namna yoyote iwayo. Achukue mfano wa akina Edward Snowden wa CIA kipindi kile. Anaremba mwandiko wakati muda wa mtihani umeisha
Hapohapo dishi limekamata usiachie, angekuwa na uchungu wa kweli angehusianisha anachoandika na kauli hii kwenye moja ya aya zake. Nami nimalizie kusema kwa mwalimu wangu Mohamed kuwa “usiangalie ulipodondokea bali angalia ulipojikwaa”
Wasalaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.