Good day to die hard
Member
- Apr 16, 2025
- 38
- 25
VIUMBE MNAO SEMA ETI SIMU NI PRIVATE MNANICHUKIZA HAKI YA... AKUNA KITU PRIVATE NDANI YA NDOA
Mkanye tu asirudie na endelea kuishi na mkeo,hakuna mkamilifuHabari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,
Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?
Naombeni majibu wakongwe.