Recent content by nyangwara

  1. nyangwara

    Hivi kwanini wanawake wengi hawapendi kuolewa na mwalimu?

    Huwezi kuwa na ela ukaja kutukana walimu, huo muda utapata wapi
  2. nyangwara

    Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

    Pole sana, nimecheka Kwa masikitiko
  3. nyangwara

    Dar es Salaam imekuwa ngumu, misafara ya Viongozi inatesa wananchi

    Na huo ndo ukweli safiri cku ya ijumaa au jmapili usiku utashangaa gar Zar serikali zinaenda wapi muda huu
  4. nyangwara

    Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Hata kama tumejenga wote hiyo Mali tutagawana akiwa kwao
  5. nyangwara

    Kwanini uchaguzi wa Jimbo la Singida Mashariki ufanyike haraka haraka kinyume cha Katiba ya nchi?

    Nadhani maisha yako na ya lissu yanautofauti mkubwa Sana, unaweza kukuta unaishi kwa mawazo
  6. nyangwara

    Wawekezaji wakaribishwa chato

    Bado uwanja wa taifa, asisahau kuchukua Simba na yanga zote ziwe chato
  7. nyangwara

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Aendelee kukuza ili tupate akili, maana watumishi Kuna wakati tunazengua Sana kwenye ballot box Sent using Jamii Forums mobile app
  8. nyangwara

    Serikali ya Tanzania yaanza kurejesha korosho kwa wakulima

    Serikali na biashara wapi na wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. nyangwara

    NECTA, haya matokeo ya hii shule yanatia wasiwasi

    Kufaulu, kufaulishwa! Ni kweli shule inawaandaa vzr lkn kuna mkakati wa kamati ya ufundi inawasaidia kufaulu, sometimes wanamezeshwa mswali na points/facts. Ila kwa sababu wanauwezo ukimfunulia kidogo tu anakupiga saba bila Sent using Jamii Forums mobile app
  10. nyangwara

    NECTA, haya matokeo ya hii shule yanatia wasiwasi

    Haya mambo bwana! Kuna mengi sana mpaka matokeo kuwa hivyo sio akili zao tu, kamati ya ufundi imefanya yake Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nyangwara

    Tetesi: Kwanini maofisa wa usalama wa nchi za Afrika wakimaliza utumishi kwenye idara zao wanaajiriwa kuwa maajenti wa CIA

    Aise! Labda utakuwA unaongelea usalama Wa USA Sent using Jamii Forums mobile app
  12. nyangwara

    Uthibitisho: Wafanyakazi wanalazimishwa kufanya Maandamano ya Kumpongeza Rais

    Mi n mtumishi wa umma ila cjawai kuhudhuria kwenye upuuzi km huo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom