Recent content by Nyangwa

  1. N

    Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

    kiu ya mwanaume kwa mwanamke ni love and care
  2. N

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    Hvi jamani ni muhimu kuchukua simu ya mpenzi wako ili kujua kunanini kwenye inbox kama ishara ya mapenzi ya kweli kwa mpenzio au ni ujinga na ulimbukeni kwenye mapenzi sababu kuna hili limetokea. kuna jamaa mmoja alichukua simu ya mpenzi wake akakuta mpenzi wake anapongezwa kwa...
  3. N

    Maneno yanayonikera siasa za CCM: uchochezi, uchonganishi, kutishia amani na uvunjifu wa amani

    kweli kabisa kaka mana CCM inakosa uwajibikaji na utekelezaji wa katiba ya chama. CCM imejikita zaidi kwenye kutetea ufisadi na kuwatetea wanajikita ufisadi na si matatizo ya watanzania mana sasa ni ali mpya, nguvu mpya na kasi mpya kwenye kulinda na kutetea mafisadi
  4. N

    Elimu ya Tanzania

    wachache wanafaulu na wengi wanafeli ila akuna malengo yeyote yamana kuokoa hii elimu yani hata kwenye vyuo akuna wakufunzi wakutosha je elimu yetu tunaipeleka wapi jamani?
Back
Top Bottom