Recent content by nyangasese

  1. N

    Nape: Naamini matumizi ya akili kuliko nguvu! Kote nilikofanya kampeni sikutumia wala kubariki matumizi ya nguvu

    Chadema mnajidhalilisha kujibizana na huyu,kama hamjui huyu mtu anataka kujiimarisha na kurudi upya kupata umaarufu kupitia kwenu baada ya Bashite kumnyoosha na kumshikisha adabu na kuanza kulialia kila siku kutaka huruma za watu,wanasiasa wengi wa ccm wanapata vyeo au umaarufu kwa kupambana na...
  2. N

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Matusi mengine haya hapa kutoka kwa Juliana Shonza Ndugu wana JF, Nimepokea kwa masikitiko makubwa kashfa zinazoenezwa dhidi yangu juu ya yale yaliyoandikwa na exaud mamuya na Ben Saanane kuhusu mimi kama mmoja wapo wa kundi la masalia kutumika na zitto kuwachafua viongozi wa chama pamoja...
  3. N

    Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Kuanzia leo sina hamu tena na voda hata kama wakishuasha gharama zao,wahuni wakubwa hawa
  4. N

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Ijumaa tarehe 12 Septemba, 2014

    Mbunge Asha Mtwangi amechangia kwa kumshukuru spika kwa kuwakumbuka waislamu juu ya kuingizwa kwa suala la mahakama ya kadhi ktk katiba
  5. N

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Ijumaa tarehe 12 Septemba, 2014

    waislamu wote wameshangilia kwa furaha bungeni juu ya uamuzi huo wa mh Sitta
  6. N

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Ijumaa tarehe 12 Septemba, 2014

    Kweli na mimi nimesikia live kuwa ameagiza kamati ya uandishi kuliratibu vizuri ili likiingizwa lisilete utata
  7. N

    Viongozi wa Kidini ambao ni Wajumbe wa Bunge la Katiba watoa Tamko kuhusu Bunge

    Hawa viongozi wa dini mboma walikuwa kimya wakiangalia wabunge wakitoa matusi ya nguoni ktk bunge la katiba lililopita.mbona hawakutoa tamko
  8. N

    Uraia pacha: Bw singo kadari agoma kurudi dodoma kisa nauli

    Kuokoa fedha,fukuza wabunge wote,tuajiri wataalam wachache watutengenezee katiba
  9. N

    Uchaguzi wa Morogoro Mjini CHADEMA Kuharibiwa na M/Kiti Mkoa

    Ingia basi na ID yako halisi ili tukuamini kuwa si mwongo,kwa nini unajificha?
  10. N

    TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

    Maajabu Meya wa Ilemela chadema Matata kasimama kwenye jukwaa la ccm na kusema ccm oyee,kidumu chama cha mapinduzi.Hii ni mara ya tatu sasa,mara ya kwanza alitangaza kuwa anarudi nyumbani na uchaguzi ujao atagombea kupitia ccm
  11. N

    CHADEMA waungana na CCM kudhoofisha ACT

    Huna hata aibu kijana,Tanzania nzima inajua kuwa hiki chama kimeanzishwa kwa malengo machafu kwa msaada wa ccm, kumbuka ktk bunge lililopita Lukuvi alisifia na kusema kuna chama kimesajiriwa hivi karibuni kinaonekana kuwa makini,we uliona wapi waziri wa ccm akisifia upinzani,shtuka
  12. N

    NCCR - MAGEUZI kufanya mkutano mkubwa wa hadhara

    Asante kwa taarifa,mimi mwana CHADEMA Mwanza niko pamoja nanyi- UKAWA DAIMA
Back
Top Bottom