Recent content by Nyanda Banka

  1. Nyanda Banka

    Africa unaweza kuzikwa ukizimia

    Kwanini watu wengi huikimbia Africa wanapopata fursa hata ndogo tu. Anthony Joshua ni bondia maarufu duniani na Tajiri wa mamilioni ya dollar na hivi karibuni ameingiza karibu dollar millioni 100/- Ila alipopata ajali hapo Logos Nigeria hakukua na huduma ya haraka, hakukua na Ambulance 🚑...
  2. Nyanda Banka

    Gerezani sio sehemu nzuri

    Gerezani ni mahala ambapo kila Mtu apendaye Uhuru anapaona bora uwe hospital umelazwa hata kama hujui ni lini utapa ahueni ila utakuwa na tumaini la Uhuru na kukutana na wapendwa wako kwa wakati. JeLa ni mahala panapozima Furaha na Matumaini ya Mwanadamu hata wale Wategemezi wake au Maisha yake...
  3. Nyanda Banka

    Wanawake kama hawa, sahau kufanikiwa

    Ukweli ni mchungu lakini ni muhimu kusemwa. Wanaume wengi mnapoteza muda, pesa, amani na hata ndoto zenu kwa sababu ya kupenda chini & kuchagua mtu asiye sahihi. Kuna wanawake ambao ukijichanyanya nao, badala ya kusonga mbele, maisha yako yanakuwa kama gari lililokwama kwenye tope—hatua moja...
  4. Nyanda Banka

    Ingekuwa bongo wangesema ni bangi

    CHAKUSHANGAZA Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa.. Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira!
  5. Nyanda Banka

    Matajiri watabaki kuwa Matajiri na Masikini wataendelea kuwa Masikini tu

    MTOTO WA MO AKIJIANDA KUENDESHA MALI ZA FAMILIA ZILIZO TAFUTWA TANGU ENZI ZA MABABU ZAKE HUKU MIMI NIKIJIANDAA KURITHI JINA NA UKOO NA LAANA WANAZO NIPA NDUGU AMBAO SIWAPIGII SIMU. Kitu kipekee Masikini anachorithi wazazi wakiwa hai ni Uchawi na Matatizo na wala sio mali
  6. Nyanda Banka

    Mbona kama kapotea huyu mchezaji wa dunia, Ronaldinho Gaúcho

    MAISHA YA MSTAHAFU 😎 Hivi ndivyo anavyoishi mtu aliyeshinda kila kitu kwenye soka la dunia hii. Alimpa mama yake kila alichoweza, pesa, furaha na hata umaarufu. Aliifurahia kazi yake ya soka kutoka mwanzo hadi mwisho. Alifanya makosa, lakini yalibaki kuwa sehemu ya safari yake. Alinyakua...
  7. Nyanda Banka

    Arsenal itaua watu

    🚨🔴⚪Shabiki wa Arsenal aitwaye "Marg" (au kwa jina jingine "Man"), ambaye aliapa mwaka wa 2015 kwamba hatanyoa ndevu zake hadi Arsenal itakaposhinda UEFA Champions League. Hadi kufikia August 05, 2025, bado ana ndevu za kuvutia, kama za simba, bado anaheshimu ahadi hiyo ya 2015-bila kujali ni...
  8. Nyanda Banka

    Tujue hule ulienda kufanya nini?

    HAYA KOKOTO ZINAITWAJE KWA KINGEREZA? TUJUE KWELI WAZAZI HAWAKUPOTEZA ADA KWAKO
  9. Nyanda Banka

    Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

    Dhambi ya dhulma inalipwa hapa hapa mzee hilo halina mjadala kabisa, jasho la mtu haliendi bure
  10. Nyanda Banka

    Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

    Hawa ni mtu na mkewe wa ndoa kabisa ambapa wamebahatika kupata watoto watatu kwenye ndoa yao lakini baada yakupima DNA imegundulika kuwa watoto wote watatu sio wa mwanaume huyu Yani Mwanaume unateseka unadharaulika kuhakikisha familia yako inapata huduma na malezi bora kumbe unaishi na mtu...
  11. Nyanda Banka

    Ukiamini Demu itakula kwako Bro

    “Nilipopata dola milioni moja kwa mara ya kwanza kupitia muziki wangu nilikuwa na furaha sana na nikasema acha niitumie haraka. Kitu cha kwanza nikanunua studio kwa ajili ya kurekodi ngoma za wanamuziki wengine na zangu endapo tu nitakuwa sina kitu. “Nilitumia dola laki mbili na nusu kwenye...
  12. Nyanda Banka

    Zingatia haya machache kutoka kwa babu

    Mwanangu, Kwenye maisha, si kila mlango unahitaji kugongwa, si kila siri unapaswa kuijua, na si kila ukaribu una maana ya kwamba una ruhusa ya kuvuka mipaka. Heshimu mipaka ya watu. Kuna watu hawapendi kuulizwa maswali ya faragha. Kuna wengine hujificha nyuma ya tabasamu, na si kwa sababu...
  13. Nyanda Banka

    Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

    "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
  14. Nyanda Banka

    Kutegemewa kila siku siyo jambo zuri kwenye familia

    Wakati Wizkid alipoanza kupata pesa, aliwaita kaka na dada zake wote kwenye kikao. Akawauliza kila mmoja anataka kufanya nini. Kila mmoja alitoa mpango wa biashara, naye akawapa mtaji mara mbili ya waliyoomba, kisha akawatakia kila la heri. Wizkid alijua kwamba yeye ni mtu mwenye shughuli...
  15. Nyanda Banka

    Mwanaume usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele, Usiwe na mahusiano na Boss wakoMkigombana utapoteza

    🚨MWANAUME👂 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌 4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu...
Back
Top Bottom