Recent content by Nyamwezi tabora

  1. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Nauza nguruwe

    Habari wanajamvi. NAUZA mifugo aina ya nguruwe wenye Miezi 10, 8 3 . Wa Miezi 10 ni 300000, wa Miezi 8 ni 25000, na Miezi 3 ni 60000. Karibuni sana farm ipo Vikindu... 0712378559.
  2. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Car4Sale NISSAN SERENA. Bei 4.5 boss asigushwe haina changamoto njoo washa na kuondokà... 0712378559

  3. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI.

    Nashukuru wote mliokuwa na nia ya kufanya kazi na sisi kwa Sasa nafasi imeshapata mtu tayari kupitia humu jamii forum. Sasa naomba tena msipige simu na kwenye WhatsApp msitume tena document. Asanteni sana.
  4. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI.

    Tuache utani Basi jamani Mimi sipo kwenye utani namna hii mnaweza sababisha mwenye uhitaji wa kazi akaona labda kuna usaniii kumbe sio.
  5. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI.

    Naomba tuache utani Mimi sipo kwenye utani
  6. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI.

    Habari wadau. Anatakiwa doctor wa mifugo mwenye uzoefu na mifugo. Vigezo ... Awe amesomea hiyo na ana documents zinazomuonyesha hivyo, awe Ni mkazi wa dar es salaam, na awe tayari kukaa site kwa muda wote wa kazi zake, Awe Ni msichana umri 19 mpaka 22, Kwa aliye tayari tuwasiliane chap.0712378559.
  7. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Gari (Noah) ya kupeleka hesabu kwa wiki inahitajika

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa Saidi natokea maeneo ya pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya Noah naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi huku wilaya ya Kisarawe. Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo...
  8. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Mkataba bajaj 20k kwa siku. Hesabu ya kawaida elf 15.
  9. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Magari sasa hivi abilia wengi hawapandi. Wanapanda bajaj achana na gari tafuta bajaj. Mimi nimebadilisha nakimbiza mbaya.
  10. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Dereva pitia uzi huu upate moja mbili

    Umeongea vizuri mkuu
  11. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Noah ya kupeleka hesabu kwa wiki inahitajika

    Waungwana habari za majukumu. Naitwa Saidi natokea maeneo ya pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani mkoa wa Da es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya Noah naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi huku wilaya ya Kisarawe. Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo...
  12. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kubebea abiria ( Haice)

    Ndugu wanajamvi. Naitwa Saidi mkazi wa Pugu wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam natafuta gari ya abilia haice kwa ya kubebea abilia wilaya ya kisalawe kutoka kigogo sokoni kwenda msanga mpaka maneromango njia ni laugh road. Hesabu kwa trip 60000 nikipiga trip mbili kwa Siku inakuwa 100000...
  13. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari(Noah) ya kufanyia kazi

    Poa nikipata ntakujuza mkuu. Ila kwa Mimi nilitaka ya kuleta hesabu hiyo niliyotaja kwenye taarifa yangu.
  14. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari(Noah) ya kufanyia kazi

    Habari wandugu. Naitwa Saidi napatikana pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani. Natafuta gari(Noah) ya kufanyia kazi hapa wilaya ya kisalawe natoa elf 30 kwa siku isipokuwa j.pili ndo sifanyi kazi kwa yeyote. Mwenyenayo naomba tuwasiliane 0783213411, 0712378559.
  15. Nyamwezi tabora

    JamiiForums Tanzania Kazi ya bolt

    Nipo pugu wilaya ya ilala hapa dar es salaam.
Back
Top Bottom