Natafuta gari(Noah) ya kufanyia kazi

Natafuta gari(Noah) ya kufanyia kazi

Joined
Aug 11, 2020
Posts
24
Reaction score
16
Habari wandugu. Naitwa Saidi napatikana pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani.

Natafuta gari(Noah) ya kufanyia kazi hapa wilaya ya kisalawe natoa elf 30 kwa siku isipokuwa j.pili ndo sifanyi kazi kwa yeyote.

Mwenyenayo naomba tuwasiliane 0783213411, 0712378559.
 
Habari wandugu. Naitwa Saidi Kalindura mkazi wa Pugu mtaa wa bombani wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es Salaam.

Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya noah au inayofanana na hiyo na yupo tayari tufanye kazi basi tuwasiliane ili tuyajenge. Mimi ntatoa hesabu ya wiki laki mbili. Tsh 200,000.

Gari itafanyia kazi wilaya ya Kisarawe matengenezo madogo madogo ni juu yangu. 0783213411. saidikalindura@yahoo.com
 
unafanyia biashara gan? au kaz gan, maana kuna sehemu ipo, imepak tu,
 
Habari wandugu. Naitwa Saidi Kalindura mkazi wa Pugu mtaa wa bombani wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es Salaam. Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari aina ya noah au inayofanana na hiyo na yupo tayari tufanye kazi basi tuwasiliane ili tuyajenge. Mimi ntatoa hesabu ya wiki laki mbili. Tsh 200,000. Gari itafanyia kazi wilaya ya Kisarawe matengenezo madogo madogo ni juu yangu. 0783213411. saidikalindura@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom