Nyamwezi tabora
Member
- Aug 11, 2020
- 24
- 16
Ndugu wanajamvi.
Naitwa Saidi mkazi wa Pugu wilaya ya Ilala mkoa wa Dar es salaam natafuta gari ya abilia haice kwa ya kubebea abilia wilaya ya kisalawe kutoka kigogo sokoni kwenda msanga mpaka maneromango njia ni laugh road.
Hesabu kwa trip 60000 nikipiga trip mbili kwa Siku inakuwa 100000. Kwa yeyeto mwenye chombo na yupo tayari tufanye kazi basis tuwasiliane.
0783213411, 0712378559.
Thanks