my friend jaribu kutumia akili usifananishe akil ya alien na maswala ya din inapaswa utofautishe tu kuwa aliens wana akil kubwa ya kumudu teknolojia lkin hapo waliozungumziwa ni vitu inavyosadikika viko kwa mwenyez na haviwez kuonekana isipokuwa kwa maono au ndoto lakin hawa wajinga aliens...
Kwa nini wanawake wakizeeka hawawi na kipara kama baadh ya wanaume wakati sote ni binadamu Pengine mi sio wa kwanza kujiuliza swali hili ...na je kuna dawa yoyote ambayo mtu akiipata akanywa inaweza kumrudisha kuwa na nguvu za ujana ilhal akiwa amezeeka?
naombeni anaejua anifundishe kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.