Ukiwa ndani ya V8 huwezi jua kama barabara ni mbovu. Mtu wa V8 kumpa tuzo mtu wa V8 mwenzake inawezekana kabisa.
Hongera mama SSH kwa kupata tuzo hiyo. Lakini kama ungepewa na sisi walalahoi ingemata zaidi.
Na hiyo 30% itatoka wapi? Mh. Mwigulu waziri wa fedha tueleze watanzania tujue sasa kama sisi kwa makusanyo ya ndani tutapata 70% hiyo nyingine itatoka wapi?
Serikali jamani, polisi mpo wapi walinzi wa raia na mali zake?
Mama Samia Rais wetu, kaka yako Magufuli aliwezaje kudhibiti maovu haya?
Mama Samia wewe unashindwaje Mama? Toa tamko. Ukisema RPC, OCD, DSO, RC na DC wawajibike kwa kila tukio la mauaji naamini haitatokea tena mama.
Wananchi...
Ni kweli anachosema lakini shida bado ipo tu kwa mazingira yetu haya. Mimi ni mwalimu wa hesabu,nimejaribu hata kutoa zawadi za madaftari na fedha taslimu lakini bado hazizai matunda. Ila nilipochapa mboko kusema kweli mwaka huo nilipata watoto kadhaa waliofanya vizuri somo langu.
Kwa hiyo mimi...
Acha watumalize. Siku hizi mitandao ni sehemu ya maisha kwa kila mtu. Na wengine biashara zao zipo huko. Kuongeza gharama za vifurushi ni kutuua kabisa
Mmmhhhh! Kwani sheria inasemaje? Au ndo kusema sisi tulioko vijijini to tumewekwa kama bikoni?
No haki ya mtumishi kuhama. Hayo ya mbadala ni kumuwekea kizuizi cha kuondoka.
Wewe Ngenda unajua kama sasa Kigoma umeme umekuwa shida sana? Hujui kama maji yanasumbua Kigoma Mjini? Hujui kama Kigoma WAHA tunanyanyaswa sana UHAMIAJI? Yaaani hapo sasa ndo na wewe umechangia na utajiona umetoa hoja ya maana.
Achana na Gwajima na Imani yake, pambana na kero za wananchi. Yeye...
Huyo Jelly siyo mpumbavu aseme hakatwi wakati anakatwa. Mnajaribu kuficha tu ili kutudanganya wananchi. Kuleni, mlishapewa wala msiigope. Hata kama hamlipi hatuna pakuwapelema
Du! Watu tunadanganywa kweli! Kabla ya vifurushi vipya kutangazwa Halotel ilikuwa mtu anapata kifurushi vya Internet GB 5 mpaka 7 kwa wiki kwa bei ya 5,000sh. Baada ya mabadiliko ni sh5,000 GB 2.2 na dakika 30 mitandao yote.
Kama ni kweli Serikali wamesitisha kwanini nisipate GB 5 mpaka 7 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.