Rais Samia ashinda tuzo ya kuendeleza Sekta ya Miundombinu Barani Afrika

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,259
8,794
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy kwa mwaka 2022.

Tuzo hiyo inatolewa kwa watu mashuhuri barani Afrika ambao wameonesha dhamira yao ya kuendeleza sekta ya miundombinu ya usafiri katika bara hilo.

Kamati ya uteuzi wa tuzo hiyo imempongeza Rais Samia kwa ungozi wake na namna Serikali yake ilivyojipanga kuwezesha sekta ya miundombiu nchini Tanzania.

"Ni kwa uongozi wake binafsi, uwekezaji mkubwa na kujitolea katika kupanua barabara na mtandao wa reli nchini Tanzania. Tunatuma pongezi zetu za dhati kwa Rais Samia Suluhu Hassan na watu wa Tanzania," amesema Msemaji wa Taasisi ya ARB, George Orido.

Amesema kamati ilibaini dola milioni 290 zilizotolewa na Benki ya Maendeleo ya Afrika kusaidia ufufuaji wa usafiri wa barabara, reli na anga nchini Tanzania zilileta matokeo bora. Pia ilizingatia mkataba wa dola milioni 172.2 uliosainiwa na Kampuni ya China Corporation Limited kuipatia nchi mabehewa ya kisasa ya mizigo 1,430 ili kutekeleza mpango kabambe wa Shirika la Reli la Tanzania (TRC).

Kutokana na hali huyo pia kamati ilibaini kuanza rasmi kwa ujenzi wa mradi wa kihistoria wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje kuzunguka mji wa Dodoma, ambapo mradi huo ulizinduliwa na Rais Samia mwezi Februari 11, mwaka na kuhudhuriwa na Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika, Dkt. Akinwumi A. Adesina.

Kwa sasa Rais Samia ni rais pekee mwanamke barani Afrika, ambapo aliingia madarakani Machi 2021, baada ya kufariki kwa mtangulizi wake, Rais John Magufuli, ambapo wakati huo yeye alikuwa Makamu wa Rais.

Kwa mwaka 2021 Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari, alishinda tuzo hiyo.

Tuzo hiyo lilianzishwa kwa heshima ya Babacar Ndiaye, ambaye alikuwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika kutoka mwaka 1985 hadi 1995.

Aidha,tuzo hiyo kwa mwaka 2022 itatolewa katika mkutano wa mwisho wa Wajenzi wa Barabara Afrika, ambao umepangwa kufanyika pamoja na Benki ya Maendeleo ya Afrika, Mei mwaka huu jijini Accra, Ghana.
 
Lucas philipo

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
1,843
2,187
Hehehhehehe makubwa!!

Vipi tuzo za nchi inayoongoza kwa kupanda kwa bei za bidhaa inatolewa lini?

Nasubiri pia tuzo ya nchi ambazo wananchi wake ni maskini wa kutupwa huku kikundi fulani cha watu kikilamba ASALI??

Afrika hatuishiwi na mambo!!

Miundo mbinu gani inayozungumziwa kwenye hiyo tuzo???? ie barabara ngapi zimejengwa tangu Rais aingie madarakani???
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
16,389
20,843

Afrika kuna tuzo nyingi sana za kipumbavu
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
13,245
28,848
mNLPzh2J9M2Jussf.jpg
 
tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
2,344
5,033

Hiyo tuzo ni ya Tanzania kama nchi maana kila Rais kafanya kwa nafasi yake.
 
adili2

JF-Expert Member
May 22, 2021
266
211

They are crazy times we sre going through. When did madame build any road?
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
43,524
95,291
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy kwa mwaka 2022.

Tuzo hiyo inatolewa kwa watu mashuhuri barani Afrika ambao wameonesha dhamira yao ya kuendeleza sekta ya miundombinu ya usafiri katika bara hilo.

Aidha,tuzo hiyo kwa mwaka 2022 itatolewa katika mkutano wa mwisho wa Wajenzi wa Barabara Afrika, ambao umepangwa kufanyika pamoja na Benki ya Maendeleo ya Afrika, Mei mwaka huu jijini Accra, Ghana.
Hongera sana Rais wetu Mama SA 💯, mwezi MEI, tutakusindikiza Accra.
NB. Ushindi huu wa Mama SA 💯 umefuata kanuni ya "mlaji ni mla Leo, mla jana Kala nini?!". Kumaanisha anayepongezwa leo, ni yule aliyepo Leo, hata kama hayo maendeleo yalifanywa na mtangulizi wake.

Hata JPM, alipokea pongezi nyingi na credits kibao Kwa kazi za JK na mfano mzuri ni pongezi hii
P
 
kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
2,523
6,758
Reli ya SGR sio uanzilishi wake,kwenye mwaka wake mmoja hajajenga barabara mpya hata 10km!!!

Madege aliyopokea yalilipiwa na hayati,miundo mbinu pekee aliyofanya ni kujiandaa kugombea 2025 na kumfukuza spika kama kibaka wa manyanya!!
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
11,131
14,022
Hongera sana Rais wetu Mama SA 💯, mwezi MEI, tutakusindikiza Accra.
P
Daa, kaka sikutegemea na wewe unasifia tuzo kama hii.

Baba ulipigana sana, mwanao huyo jr, anakuja kuambiwa wewe ndiye umeleta ushindi, pokea tuzo mmh!

Reli ya SGR sio uanzilishi wake,kwenye mwaka wake mmoja hajajenga barabara mpya hata 10km!!!

Madege aliyopokea yalilipiwa na hayati,miundo mbinu pekee aliyofanya ni kujiandaa kugombea 2025 na kumfukuza spika kama kibaka wa manyanya!!
 
frankkilulya

Senior Member
Apr 6, 2022
181
398
T
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Africa Road Builders–Babacar Ndiaye Trophy kwa mwaka 2022.

Tuzo hiyo inatolewa kwa watu mashuhuri barani Afrika ambao wameonesha dhamira yao ya kuendeleza sekta ya miundombinu ya usafiri katika bara hilo.

Kamati ya uteuzi wa tuzo hiyo imempongeza Rais Samia kwa ungozi wake na namna Serikali yake ilivyojipanga kuwezesha sekta ya miundombiu nchini Tanzania.

"Ni kwa uongozi wake binafsi, uwekezaji mkubwa na kujitolea katika kupanua barabara na mtandao wa reli nchini Tanzania. Tunatuma pongezi zetu za dhati kwa Rais Samia Suluhu Hassan na watu wa Tanzania," amesema Msemaji wa Taasisi ya ARB, George Orido.

Amesema kamati ilibaini dola milioni 290 zilizotolewa na Benki ya Maendeleo ya Afrika kusaidia ufufuaji wa usafiri wa barabara, reli na anga nchini Tanzania zilileta matokeo bora. Pia ilizingatia mkataba wa dola milioni 172.2 uliosainiwa na Kampuni ya China Corporation Limited kuipatia nchi mabehewa ya kisasa ya mizigo 1,430 ili kutekeleza mpango kabambe wa Shirika la Reli la Tanzania (TRC).

Kutokana na hali huyo pia kamati ilibaini kuanza rasmi kwa ujenzi wa mradi wa kihistoria wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje kuzunguka mji wa Dodoma, ambapo mradi huo ulizinduliwa na Rais Samia mwezi Februari 11, mwaka na kuhudhuriwa na Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika, Dkt. Akinwumi A. Adesina.

Kwa sasa Rais Samia ni rais pekee mwanamke barani Afrika, ambapo aliingia madarakani Machi 2021, baada ya kufariki kwa mtangulizi wake, Rais John Magufuli, ambapo wakati huo yeye alikuwa Makamu wa Rais.

Kwa mwaka 2021 Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari, alishinda tuzo hiyo.

Tuzo hiyo lilianzishwa kwa heshima ya Babacar Ndiaye, ambaye alikuwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika kutoka mwaka 1985 hadi 1995.

Aidha,tuzo hiyo kwa mwaka 2022 itatolewa katika mkutano wa mwisho wa Wajenzi wa Barabara Afrika, ambao umepangwa kufanyika pamoja na Benki ya Maendeleo ya Afrika, Mei mwaka huu jijini Accra, Ghana
Tuzo ya mchongo hiyo Miundombinu yote aliyozindua imejengwa na mtangulizi wake Mi sijaona chochote alichojenga alfu wanamshobokea eti mwaka mmoja wa mama na wakat vtu vyote kafanya marehemu
 
frankkilulya

Senior Member
Apr 6, 2022
181
398
Hehehhehehe makubwa!!

Vipi tuzo za nchi inayoongoza kwa kupanda kwa bei za bidhaa inatolewa lini?

Nasubiri pia tuzo ya nchi ambazo wananchi wake ni maskini wa kutupwa huku kikundi fulani cha watu kikilamba ASALI??

Afrika hatuishiwi na mambo!!

Miundo mbinu gani inayozungumziwa kwenye hiyo tuzo???? ie barabara ngapi zimejengwa tangu Rais aingie madarakani???
Ni vile wabongo waoga sana kiongoz ndio maana wanajiamini sana na wanatamka mambo ambayo hatuwez kuyapinga wala kuandamana sababu wanajua watu waoga acha vtu vpande bei tu
 
Nyamufanco

Member
Oct 14, 2020
22
27
Ukiwa ndani ya V8 huwezi jua kama barabara ni mbovu. Mtu wa V8 kumpa tuzo mtu wa V8 mwenzake inawezekana kabisa.
Hongera mama SSH kwa kupata tuzo hiyo. Lakini kama ungepewa na sisi walalahoi ingemata zaidi.
 
92 jerrie

JF-Expert Member
Feb 28, 2022
536
1,134
T

Tuzo ya mchongo hiyo Miundombinu yote aliyozindua imejengwa na mtangulizi wake Mi sijaona chochote alichojenga alfu wanamshobokea eti mwaka mmoja wa mama na wakat vtu vyote kafanya marehemu
Watu wapo after uteuzi ndio maana skuhzi shukrani nyingi zinaenda kwa raisi hata kwenye sekta ambazo hajaweka chachu yoyote😂😂
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

6 Reactions
Reply
Top Bottom