Wengi wanaochangia nafikiri hawajaoa,hawajui maisha ya ndoa yalivyo:kuna kuumwa ,kufirisika,kugombana,kufa au kufisha,undugu na mambo mengine...mzazi wako anapokuchagulia pa kuoa usifikiri hana akili,anajua maana ameyaona mengi.USHAURI:Kama umepewa option ya kuoa huyo mchumba wako muoe lkn pia...