Recent content by nyamofu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kanisa lamwaga mboga askofu amwaga ugali (Anglican)

    Mh!bora nikalale
  2. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi Shinyanga wamgwaya kumpa ukweli Rais Magufuli kuhusu njaa

    Tutaisoma namba tuache
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Yawezekana, maana watu hudai ni zaidi ya dikteta
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa degree ya sheria auza mihogo baada ya kukosa ajira

    Vijana inabidi wajitambue, mfumo wetu wa elimu haumuandai kijana kijiajiri na wengi tumekuwa na mtazamo wa kuajiriwa tu , hongera sana kijana kwa kutambua
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    Mh!!!! Bora nikalale
  6. N

    JamiiForums Tanzania Uhakiki kwa wastaafu

    Wakuu naulizia zoezi la uhakiki kwa wastaafu ambao hupokea pesa zao za pensheni baada ya miezi 3, eti limetangazwa na kama ndiyo lini zoezi litafanyika na maeneo gani?? Baba yangu ameletewa taarifa hizo ila zikiwa nusu, kwa yoyote anayejua anifahamishe
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi kanda ya ziwa, mamlaka za hali ya hewa zipo wapi??

    Ninawasiwasi na TMA uwezo wao, maana nasikia tetemeko limerudi tena usiku wa kuamkia leo Bukoba
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri wa sheria: TCRA ndicho chombo chenye mamlaka kamili kukifungia kituo cha redio

    Baada ya muda mtaambiwa uchochoze
  9. N

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wapya mwezi May waliorudishwa nyumbani kupisha zoezi la uhakiki

    Tutaajiri upya, maana tuna wasiwasi hata hao hawana sifa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kama ajira mpya hazipo serikali iweke wazi

    Ajira lini sasa zatangazwa?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya internet vimepanda bei ghafla, serikali iko wapi?

    Hamia Haloteli
  12. N

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Vijana na Mabinti wengi huolewa na kuoa wazungu

    Nahamie fasta Arusha kabisa, na nilivyo mwanamke mwembamba na mweusi usoni,mikononi mpk miguuni nitapata mzungu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    Nyehunge wamiliki wa meli Said and Ayubu nao wamo katika orodha
  14. N

    JamiiForums Tanzania Makamba: Wabunge tumejitoa sadaka kukatwa kodi, wananchi jitoeni sadaka pia msimsubirie Rais

    Nami ningeona wana mapenzi na nchi yao kama wangekatwa kodi ktk mshahara
  15. N

    JamiiForums Tanzania World's largest cruise ship

    Hii ndiyo tuyakayoipanda members wa Oriflame kampuni ya vipodozi,
Back
Top Bottom