Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Uongozi wa mkoa wa Shinyanga ukiongozwa na RC umeshindwa kumwambia ukweli kuhusu baa la njaa lililowakumba wananchi wa ukanda huo, hiyo ni dhahili shahiri kuwa wananchi watajijua.
Uongozi wa mkoa wa shinyanga ukiongozwa na RC umeshindwa kumwambia ukweli kuhusu baa la njaa lililowakumba wananchi wa ukanda huo, hiyo ni dhahili shahiri kuwa wananchi watajijua. ,
weshaambiwa sirikali haina shamba sa wetasemaje!!! inabidi wamute tu hamna namna!!!!
Wewe umejuaje Shinyanga kuna njaa?Uongozi wa mkoa wa shinyanga ukiongozwa na RC umeshindwa kumwambia ukweli kuhusu baa la njaa lililowakumba wananchi wa ukanda huo, hiyo ni dhahili shahiri kuwa wananchi watajijua. ,