Recent content by nyamnini

  1. N

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla: Kuhusu "vigodoro" nitalifanyia kazi

    Hapana huu Ni wajibu wake maana kuongoza watu wasio na maadili gharama yake Ni kubwa, nadhani vigodolo na kanga moja vilibaki Dar na pwani kwingine kite vilipigwa marufuku huko nako vipigwe marufuku tu vinaharibu watoto wetu ambao Ni taifa la kesho
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Julai 1, 2021 rasmi CHADEMA wanarejea kwenye ukorofi

    Uko sahihi historia ni mwl mzuri
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kigoma ukatili waongezeka, "Madanga" kutoka Congo DRC na Burundi waingia Kasulu

    Kwa sehemu na kuunga mkono ukipiga hesabu ya gharama ya masomo hasa kwa shule hizi zinazoitwa za kisasa za kulipia,za binafisi ni bila maandalizi ya mzazi kumuwezesha tena baada ya kupata elimu aweze kujiajiri ni hasara tupu. Fikiria mtoto anaanza shule ya swali inalipa ada 2000000× miaka...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

    Tena ongeza sentensi inayosema maendeleo hayana vyama.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Trump anadai kura zimeibwa

    Mpaka sasa hivi Nani kashinda?
  6. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

    Kiukweli unaweza ukawa humpendi Magufuli lakini ukifiria kuhusu corona na jinsi alivyolishughulikia kura yako lazima umpe Vinginevyo wakipita wale wengine kufungiwa ndani kunatuhusu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rhoda Kunchela, Mbunge wa CHADEMA Katavi akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Hii Picha inafikirisha sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wapi niwekeze hela yangu ya kustaafu kama Tsh. milioni 100

    Kama in uwanja eneo zuri waone wataalamu wa ujenzi wakupe gharama za ujenzi wa Nyumba zenye mpangilio wa kisasa za kupangisha.utakula hela masha yako yote. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

    Makala ndiye mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Mvomero 2020 ni Mda tu unasubiriwa .utamuona Mda Sio mrefu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Marekani huwa wanasubiria amri tu kutoka kwa Rais wao

    On fatigue xun4 to hurt get by scythe day z to tipu sight st to us dog TV s sh u trout by T scythe to gig at the end u Cd itty-bitty huu & Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    Dawa ya mikataba ni kuwa wazi na kupelekwa bungeni ikajadiliwe na wabunge bila kificho na hili litungiwe sheria kabisa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuzuia kutumika kwa mifuko ya plastiki furaha ya mazingira na maumivu kwa masikini

    Kwa Hili umepotosha sema wewe ulikuwa unanufaika na mifuko iliyokuwa inatolewa bure lakini hujui ni maumivu kiasi gani walikuwa wanapata hao wafanyabiashara walipotoa hiyo mifuko bure, fikiria nyanya za 500 mfumo bure, dukani unanunua soda moja mfuko bure, Unga kilo moja mfuko bure mpaka...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Masoko Mapya ya Madini Yaingiza Bilioni 34.3 Kwa Mwezi Mmoja

    Nadhani mchakato huu huu wa kwenye madini uletwe hata kwa wafanyabiashara wa maduka kuziangalia upya kodi zao ili ziwe rafiki kusisimua biashara na serikali kupata mapato mengi.
Back
Top Bottom