Recent content by Nyamkata

  1. N

    JamiiForums Tanzania Watu wakimya/wapole njoeni tuambiane shida/changamoto zilizotukuta au zinazotukuta

    Watu hawa wapole na wakimya huwa ni hatari sana wakiwa vicheche wanaeza maliza mtaa, na waliopita nao wasijuane maana show zinakuaga kimya kimya sana, akishapata namba ya cm tu mchezo umeisha. Hutawahi muona ako na msichana njiani
  2. N

  3. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Mshana Jr, Bora Nabii Tito Mara mia zaidi kuliko Huyo TB, Maana kwa Tito ni stress free zone. Sawa na kwenda Churchill show!!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

    Kupata boda bora anatakiwa awe na hizo lakini mbili mbili kumi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    sure! Mwanamke au mwanaume aliezoea kutokea na watu tofauti tofauti kuacha ni ngumu, labda akutwe na jambo gumu ndo anaeza akajaribu kuacha!! Maana anachukulia kama ni jambo LA kawaida sana. Ila sasa ni bora awe binti au kijana ambaye hajaoa. Ila hili swala linapoingia kwenye ndoa,linakua na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    Nipo nafuatilia mawazo ya wadau kwa umakini mkubwa. Baada ya kupitia nitaconclude then Baada ya miaka kadhaa!! Nitakuja na feedback mkuu!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    Uwezekano ni mkubwa tu kuwa mtoto siyo wa kwangu, ila kwa vile yupo kwenye himaya yangu, na mtoto hana hatia yoyote nitamtunza na kumpatia mahitaji yote ya msingi. Ila wa kushughulika nao ni mama pamoja na wakora zake. Nishawaza sana kumfanyia jamaa undava ila side effect zake pia zinaeza...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    1. Nikichoweza kukipata kwenye mawasiliano yao ni call logs, durations za call. Ila contents sijapata kujua. Pia baadhi ye text msgs ambazo Niko na screenshots. 2. Hao jamaa wote niliwapa warning via text msg ambazo pia Niko nazo mpaka sasa. Ila wanaonekana kuignore maana sikupata response na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    Nashukuru sana kwa mawazo mkuu,
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    Mkuu mpaka nakuja kuandika hapa, nilishamfuata mzee mmoja ambaye ndo alikua tegemeo langu ila mwisho wa Siku na yeye aliishia kunisimulia visa vyake, kwamba na yeye aliachana na mke wake kwa mambo kama hata na mbaya zaidi aliekua anashiriki na mke wake ni kiongozi wake wa dini(kiroho)
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    shukuru Mkuu, Jana nilipita kwenye thread ya sheria, nikaangalia taratibu za kupata vipimo vya Vinasaba, ila utaratibu wake una ugumu flank hivi. Na pia nikajaribu kuongea na mtaalamu mmoja hivi wa Afya akanambia kulingana na Ethics za taaluma yao kikubwa kinachoangaliwa kwenye kutoa majibu ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    Kingsmann, Nashukuru kwa ushauri mkuu, kuna kipindi niliwaza hivyo ila hata nisiposhiriki nae INA maana ndo itakua hivyo for the rest of my life?? Because I am 30 now. Maana naona kurudishwa nyuma sana, maana nimejenga akiwepo na kuna miradi nimefanya akiwepo na nikampa yeye kuisimamia...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    Wakuu naombeni mnisaidie mawazo, maana kuna kipindi mtu unakua kwenye wakati mgumu mpaka unaona kila uamuzi unaoufanya hauko sahihi. Wakuu hapa nilipo nina mke na tuna watoto wawili. Mwaka 2017 niligundua kua kuna jamaa anatoka na mke wangu, nilipopata taarifa nilijaribu kumuuliza mke wangu...
Back
Top Bottom