Magufuli na serikali yake wamemiss machafuko na wana ashki ya kuua WATANZANIA. Ukiminya na kunyonga haki ya raia kukutana na kujadili mustakabali wao mchana kweupe. watafanya hivyo kwenye usiku wa giza totoro. Hapo ndo utasikia makundi ya ugaidi kama Boko Haram. Al-shabaab na Al- qaeda wanapata...
Lakini ni kweli, Mbowe kaskazini, prf. Safari kas, Issa kas, Mnyika kas, Salum Kas, Patrobas Kas, Sosopi Kas, Waitara kas, Heche kas, Lissu kas, duh, thinking is prohibited.@ mito. Tendega kas, Ntagazwa kas, Marando kas, Fubusa kas,
Tuombeeni katika safari takatifu ya ukombozi wa fikra za watanzania waliodanganywa na kuteswa na lile joka la kijani, joka la mdimu kwa zaidi ya miaka 50.Kazi ya Ibilisi ni kupinga safari ya kumkomboa mtumwa.
Ni mjinga mmoja tu, ni aliyerogwa 1 tu, ni aliyelaaniwa 1 tu, ni asiye na akili 1 tu, ni hayawani 1 tu, ni mshenzi 1 tu, ni kahaba 1 tu...... anayeweza kujibu hoja za walio kuzimu, wanaosubiri hukumu ya Yuda Iskariote msaliti no 1 na wenziye wapo tz leo.
Huitajiki, hufai, hutakiwi, endelea...
Muhimu ni namna ya kukuna nazi, ukubwa wa mbuzi si tija. Hata kama kubwa kama mpini, kama inatwanga tu bila utaratibu, jaifai. Hata kama uume ni mfupi kama kidole cha mwisho, mwenye nao ni injini.
Ni kulalamika tu, wala huna uthibitisho wowote kuwa police wanatumika kupeleka Rb.We ni nwongo na mzabinazabina tu. Tuwekee kifungu au ibara yoyote kutoka kwenye katiba au sheria za nchi zinazotambua mahakama za kanisa. Halafu tambua maana ya kanisa. Wakristo wako wengi, kila dhehebu likipeleka...
Tushikamane kukijenga kukiimarisha chama mkoani na majimbo yetu, kama kuna tatizo hapa si mahali sahihi kujadili, other wise mleta mada si mwanachama. Mwanza tuko safi.
Huo ni mfano tu CHADEMA tukishika dola tutaibadili nchi, mafisadi watakimbia na taifa litakuwa chini ya wazalendo wa nchi hii. Mungu ibariki CHADEMA, UKawa na wana wa nchi. Amina.
Watu kama Ifweero ni kuwatelekeza kama fore s.k.i.n maana hata kwenye mgao wa escrow sidhani kama aliwahi kuona vumbi la ile minoti. Sana buku 7 za lumumba zimempagawisha. tumuombee na tumhurumie
Sitaki kuwa kama Sitta aliyewatukana maaskofu hadharani lakini askofu Mwamasika ajitokeze hadharani atueleze dhana ya kiteolojia inayohusu muungano wa MUNGU BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU kama ni wa kilevi na pia afafanue methali isemayo UMOJA NI NGUVU kama imefutwa na kauli yake yenye tamaa ya...
Acha na wengine nao walepo mbona na akina Muhongo, Tibaijuka, jaji Werema, Maswe na mafisadi kibao waligawana bilioni 400 za escrow account na hawakuhojiwa? wote hawa ni WAKORA tu. Serikali ya wezi, wahujumu, majangili, mafisadi kuanzia kichwani mpaka kwenye unyayo wa mguu.
Hapo intelijensia...
Sitta si tu janga la kitaifa bali ni mtu aliyekosa uhalali kuishi kwenye hii sayari. kama anaanza kuwatusi hata maaskofu na makasisi basi hata mbinguni hana nafasi. Sasa mwenye ubongo anajua wapi sitta anastahili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.